Jamaa mwenye mikosi!!!

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Kuna jamaa mmoja alikuwa ni mtu mwenye mikosi sana kwa kifupi kila alitendalo halifanikiwi na kijiji kizima kilikuwa kina mfahamu kwa hilo. Jina lake ni Kitenya.
Basi siku moja akasafiri kwa meli toka mtwara kuelekea dar..
wakiwa njiani mara meli ikaanza kuyumba kutokana na mawimbi makali..
Abiria wakasema inaonekana huku ndani kuna mtu mwenye mkosi.. Wakasema itabidi tupige kura na mwenye mkosi atoswe majini

Wakapiga kupiga kura na kura zika mwangukia Kitenya.

Mazungumzo kati ya kitenya na wasafiri yakaanza hivi;

Kitenya: Mimi sina mkosi

Wasafiri: Ndio unamkosi

Kitenya: Nipeni chance ya mwisho

Wasafiri: Sawa

Kitenya: Nitaamuliza mmoja wenu swali rahisi sana akiweza kutoa jibu sahihi mimi mtanitosa majini otherwise yeye.

Wasafiri: mmh ok

Kitenya: akamchagua mmoja wa wasafiri kisha akamuuliza hivi; KENDE zangu na zako tukizijumlisha tunapata ngapi??

Jamaa: NNE

Kitenya: Akashusha suruali na kuonya kengele zake na kusema umekosa MIMI NINAZO TATU JUMLA NI TANO

Jamaa : wewe ndio umekosa akashusha suruali na kusema ni NNE mimi nina Kende MOJA

Wasafiri: Haaaaaaaaaaaa kisha wakamtosa majini

NOTE: kila mwanaume ana kengele mbili.
 
Thanx for putting smile on our faces
 
Hivi kwenye meli hiyo hapakuwepo polisi? maana jamhuri inatakiwa iwashitaki hao jamaa kwa kukaa uchi mbele ya umma.
 
Duu,Mungu aniepushie mikosi kama ya bwana kitenya,maana huu ulimwengu unaweza niangukia!!
 
dah, kweli hii noma, inaonekana kitenya labda angeamua tu menyewe kuingia baharini
 
Back
Top Bottom