Jamaa keshaanza kuchea mapemaaaa

Hizo mila kwa baadhi ya makabila ya Africa Magharibi hasa Nigeria, ni sehemu ya kuuthibitishia umma kwamba 'hiyo ndo ndoa yenyewe na atailinda' mpiga picha alipaswa kuweka picha ya pili, bwana harusi anakaa kwenye kiti alafu bibi harusi anapiga magoti anshika juu ya 'sehemu' ya mwanaume (bwana harusi) kwa mikono miwil kwa dakika kidogo. Makofi na vigelele vinapigwa. Natafuta picha kama hii kwa mwananmke kushika sehemu nyeti za mwanamke niziweka hapa.
 
Nadhani kupiga deki kwa staili hiyo ya binti alivyokaa haiwezekani. Kidevu cha jamaa kitabanwa kwenye mapaja na hatafikia.
Hii nimeijaribu sasa hivi hapa na nimeshindwa kuifikia.
 
Mmmh, anafanya nini hiyo hadharani??

Au engajiment ring'i kaificha huko kama warombo?? Uki-ingejiwa na mrombo, sapraizi ring'i huwa wanaweka huko

Nilishashuhudia hii. Bwana harusi akiibuka huko ana gstring kwenye meno. Sijui ni tamaduni gani hii! Heri sie tunajivalia maskintite machafuuu, akisogea hapo repulsive pangent smell inamkimbiza. Kongosho njoo uone
 
76221_496972753654765_131316136_n.jpg

Bibi harusi kajiskia aibu, jamaa kamuaibisha sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Khaaaaa! Hii ndo nini sasa jamani? Si angesubiri kidogo tu watoke ukumbini au ndo masharti ya ukoo wa Bi harusi manake siku hizi watu wanalambishwa hadi tigo kupima seriousness.
 
Hizo mila kwa baadhi ya makabila ya Africa Magharibi hasa Nigeria, ni sehemu ya kuuthibitishia umma kwamba 'hiyo ndo ndoa yenyewe na atailinda' mpiga picha alipaswa kuweka picha ya pili, bwana harusi anakaa kwenye kiti alafu bibi harusi anapiga magoti anshika juu ya 'sehemu' ya mwanaume (bwana harusi) kwa mikono miwil kwa dakika kidogo. Makofi na vigelele vinapigwa. Natafuta picha kama hii kwa mwananmke kushika sehemu nyeti za mwanamke niziweka hapa.
Megawat unaitafuta ban wewe. Yaani mtu aimbe na maiki ya watu jamaa wakuangalie tu?
 
Sisi mila yetu inaagiza mwanaume wakati unapooa pete yako lazima uifiche kwenye kiberiti cha mkeo, kama kiberiti cha mkeo kitaruhusu pete kuanguka basi ndoa hiyo ni batili kwakuwa huyo dada atakuwa ametumika sana.
Kwa hiyo kwetu kiberiti kubana ni muhimu sana. Hebu angalia hapo chini jamaa anavyoitafuta pete:
 
Attachments

  • Mila zetu wakati wa kusaka Ring.jpg
    Mila zetu wakati wa kusaka Ring.jpg
    31.5 KB · Views: 34

Similar Discussions

Back
Top Bottom