Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Atamwita mwanaye atakayezaliwa Mwana mkwe. Na mtoto atamwita Baba Mkwe.. Mkewe atamwita mtoto wa Mama Mwanangu mdogo wangu
 
Atamwita mwanaye atakayezaliwa Mwana mkwe. Na mtoto atamwita Baba Mkwe.. Mkewe atamwita mtoto wa Mama Mwanangu mdogo wangu
Sio poa,siku zinavyozidi kwenda,mama mkwe nae tumbo linazidi kuongezeka.
 
Hahaaaa, mnajiendekeza tuu unashindwa kweli kujizuia kwamba hata kama anavutia ni mama mkwe ukaogopa, wanaume nyiee.kuchungulia sehemu za siri alizotokea mkeo[emoji16] [emoji16]
Ile kitu ina mesa enzake uwezi jizuia nayo nakwambia ukwel mamiloo ina nguvu za ajabu hata hivyo haikatox haikatai ametokea wife sio Mimi hata hvyo ntanzama hapo kwa fasi ya duasi ya papuchi Mara moko moko nisigundulike

Huyo jamaa ni soro kabisa mon'goo anajisahau mpaka anatia mimba
 
Ushetani mwingine mpk shetani mwenyewe anauogopa
 
Unatumia tecno wewe si buree mbn una haraka ya kuandika kama mkojo wa asubuh ?

Polee usimind ni utani.
Lakini ujumbe umefika kama lile neno NAIBU RAISI

BY THE WAY, mkojo gani unaizungumzia?
 
[emoji3] [emoji3] babilai, hicho kiarusha mmh sijaelewaa, ila fresh man zinazomeza yenzie zipo kibao huko unataka kuifata mpaka ya mama mkwe, shameful
 
Kama Ni khalifa watangaze ndoa mke wa pili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…