Jamaa kagundua natembea na mke wake

Jamaa kagundua natembea na mke wake

Mwanaume hutakiwi kuogopa wewe mwenyewe ulijua wazi kabisa ni mke wa mtu, jiandae tu kwa lolote.
 
Mke wa mtu ni sumu, sasa wewe umejidai una maziwa ya kuneutralize ,ona sasa ushaaanza kuathirika kisaikolojia hahaaa. Mkuu achana na wake za watu
 
hiyo kitu huwezi acha lazima utarudia na atakukamata tuu.
 
Somewhere in the shadows, kuna washkaji wanakula karanga wakishushia na supu ya pweza. Wanasubiri amri tu ya kutekeleza maagizo.

Be afraid, be very afraid hahaa!

Ukikosa KY tembea na chupa ya mafuta ya kula, yanaweza kukufaa kwa kile kinachokukabili.

Usisahau kutuletea mrejesho brother!
Akikosa mafuta ya Kula na KY, atembee hata na Colgate tu.
 
Kwani wakati unatongoza mpaka kwenda kumtafuna mke wa mtu uliomba ushauri...

Tulia hivyo hivyo... mla mae huliwa...


Cc: mahondaw
 
Ndo maana huwa mnauliwa kiduwanzi sana

Sometimes wanawake ndio chanzo
Just kwa tamaa zake tu hua hasemi ukweli kama ana mume
Lakin kwa story ya huyu jamaa naihisi yeye ndio fisi mwenye tamaa
 
Usisahau kutembea na ky mfukoni,yanasaidia kupunguza maumivu,wakitumia mate mayowe yake ucpime.
 
Malinda yanakuhusu watu kama nyie hatuwataki ktk jamii
 
Umekula vya watu sasa andaa vyako viliwe tu , hakuna jinsi nyingie sasa, KY inakuhusu tembea nayo kabisa
 
Mwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.

Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.

Ila huyu mke alikuaga demu wangu wa zamani.

Ushauri jamani.
MIJITU IBAYOJUA INA NGOMA NA WEWE UNAJIPELEKA YANAKUACHIA TU. UFE PEKE YAKO BILA SHURUTI. KUWA MWANGALIFU NA UKAPIME
 
Anakulia timing huyo, why serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom