Jamaa kagundua natembea na mke wake

Jamaa kagundua natembea na mke wake

Somewhere in the shadows, kuna washkaji wanakula karanga wakishushia na supu ya pweza. Wanasubiri amri tu ya kutekeleza maagizo.

Be afraid, be very afraid hahaa!

Ukikosa KY tembea na chupa ya mafuta ya kula, yanaweza kukufaa kwa kile kinachokukabili.

Usisahau kutuletea mrejesho brother!
 
Hapo subiri matokeo. Ukifanya mtihani kinachofuata ni matokeo. Usije tu ukapotea JF mkuu. Usisahau kunipa updates. Wahenga walisema 'MKE WA MTU SUMU'.
 
Mwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.

Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.

Ila huyu mke alikuaga demu wangu wa zamani.

Ushauri jamani.
Hapo subiri matokeo. Ukifanya mtihani kinachofuata ni matokeo. Usije tu ukapotea JF mkuu. Usisahau kunipa updates. Wahenga walisema 'MKE WA MTU SUMU'.
 
Hanakaa kimya harafu mnakaa mtaa mmoja kila ukimuona moyo mbioooo usiombe sasa akakusalimia ndo unazid kuchanganyikiwa
 
Nasikia jamaa anawaandaa wabeba zege kama watano hivi anawalisha ugali dona samaki maziwa na supu ya pweza..
Itakua umefanya jambo la maana kununua ky
 
Yaani vibumbu vyoote vinavyozagaa kila pembe ya mji huu wewe "unakora" mke wa mtu ?? Hakuna namna lazima uandae simu yako ya tiGo.
 
Kasema jogoo halipandi mtungi
Kama unachosema ni sahihi. Uchukue tahadhari za ziada tena maana watu wa hvyo wanakuwaga na hasira kuliko kawaida kwasabab ya inferiority complex.. Achana na mke wa mtu
 
Anza kuimba ule wimbo wa Gudluck Gozbert Iko siku yako, iko siku yako tu....!
 
Mwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.

Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.

Ila huyu mke alikuaga demu wangu wa zamani.

Ushauri jamani.
Subirikulipwa mshahara wa dhambi (uzinzi)!
 
Mwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.

Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.

Ila huyu mke alikuaga demu wangu wa zamani.

Ushauri jamani.
hama mji la sivyo jiandae
 
Back
Top Bottom