Jamaa kagundua natembea na mke wake

Jamaa kagundua natembea na mke wake

Pole ila ujue onyo linakujanna action pemben maana jamaa amekuwekea kinyongo cha maisha na kuna yanayokuja zaid
 
Naona usajili wa kijemsijemsi dirisha dogo ushafunguliwa.
Na fasta umekwapua fomu.
Kila kheir kwa hilo uliyotumia nguvu zako mwenyewe.
Man is a male Gay alis a she-male.
 
Ngoja nisikilize wanachokushauri maboya wenzio, halafu nimalize mchezo ***** zako
 
Kama jogoo hapandi mtungi basi huna haja ya kutaka. Ndio maana amekuruhusu uendelee
 
Mwambie tuu ukweli na umuombe msamaha mwenye mali la sivyo subiria hukumu ya MUNGU.
 
nikutakie safari njma uendako mkuu msalimie baba wa taifa mwambie yule kijan aliemuacha mdogo jiwe saiv kakua ndo kakaa patakatifu magogoni tunanyook vilivyo pia mwambie tumefufua shirik la atcl ijapokuwa tuna dawa nyng hosptl elimu ni bure shirika linazalish kwa faida haswaa nchi hain shida ya kukopa nje bali yenyew ndo inakopsh
yageuze maneno yote kuwa kinyume kish ujue mfalme hapnd kuambiwa ukwel naogop mashangazi zangu wacj juta kwa kaul hii
[emoji23] [emoji23] dah
 
Ulitakiwa kuomba ushauri kabla hujaanza kuchepuka na huyo Mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom