Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,668
- 9,094
Mwanaume hutakiwi kuogopa wewe mwenyewe ulijua wazi kabisa ni mke wa mtu, jiandae tu kwa lolote.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tembea na KY kwenye mfuko just in case itapunguza maumivu
Soon tunamuongeza james mwingine kitaaa
Tembea na KY kwenye mfuko just in case itapunguza maumivu
Kikubwa popote ulipo uwe na KY ili jamaa wasije kutumia mate.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Kulalek kifo hakina brek
Akikosa mafuta ya Kula na KY, atembee hata na Colgate tu.Somewhere in the shadows, kuna washkaji wanakula karanga wakishushia na supu ya pweza. Wanasubiri amri tu ya kutekeleza maagizo.
Be afraid, be very afraid hahaa!
Ukikosa KY tembea na chupa ya mafuta ya kula, yanaweza kukufaa kwa kile kinachokukabili.
Usisahau kutuletea mrejesho brother!
Au hata atembee na kiwi tuAkikosa mafuta ya Kula na KY, atembee hata na Colgate tu.
Siku hizi unafungulia mbwa tu...Tembea na KY kwenye mfuko just in case itapunguza maumivu
Ndo maana huwa mnauliwa kiduwanzi sana
Bora 'akufanye' kabisa yaishe? Sentensi yako tata sana chifuHalafu mtu asipokufanya kitu ndo unazidi kuchachawa mwisho unajinyonga mwenyewe
Inaonyesha unakauzoefu na unacho kisema mkuuTembea na KY kwenye mfuko just in case itapunguza maumivu
Hahah, aiseeAu hata atembee na kiwi tu
MIJITU IBAYOJUA INA NGOMA NA WEWE UNAJIPELEKA YANAKUACHIA TU. UFE PEKE YAKO BILA SHURUTI. KUWA MWANGALIFU NA UKAPIMEMwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.
Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.
Ila huyu mke alikuaga demu wangu wa zamani.
Ushauri jamani.