Jamaa atengeneza sufuria mbili kwa moja

Ugali Na Mboga Unapika Pamoja Hapo Hapo
Theoretically sawa,ila kiuhalisia haikubali hiyo.

Hiyo sufuria inacomplicate hasa.

Maana utapika mboga itaiva huku ugali bado kuiva,hiyo itakufanya ushindwe kuipua mboga kwa sababu ugali haujaiva,

kitendo cha kuzidi kuacha mboga hiyo jikoni inazidi kukauka(kukakamia) na mwishowe kukauka kabisa na mchuzi wote kupotea hata kuungua,hiyo ni hasara kubwa sana.

na wakati wa kupika ugali wako huku upande ungine una chakula kingine kwanza wakati wa kusonga hapo hapatakuwa na ile balance kwa sababu sufuria haina shape ya mduara,itakuwa ngumu sana kusonga ugali

Labda sufuria hiyo upikie vykula ambacho vitaiva kwa pamoja.
 
Kitakachowahi kuiva kinapakuliwa
 
Huu ubunifu mchina ata modify sasa hivi, yaan ubunifu huu huu mchina ataurembesha kwa technologies zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…