Jamaa apasua vipande kila kitu alichomiliki na mkewe, ili wagawane kwa talaka

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
25,700
36,731
29BAB82300000578-0-image-a-1_1434612901254.jpg
Two-wheel drive: German eBay user 'der.juli' took power tools to all of his possessions after being dumped by his girlfriend - cutting everything in half including his Opel Corsa


It may sound like a half-baked plan - but a spurned boyfriend has cut everything he owns in two to spite his former partner.


German eBay user 'der.juli' took power tools to his most expensive possessions, including a TV, an iPhone 5, an Apple laptop and even his car.

He then sent his ex-girlfriend her share in the post, while he's listed his half of the goods for sale on eBay, with the broken car now available for less than £2.

29BAB73D00000578-0-image-a-19_1434613003626.jpg
Space for one: His sofa was also cut into two an is listed on eBay for 1EUR - the equivalent of around 70p


Other items cut in half include chairs, a bicycle, a teddy bear, an REM record, a sofa and even a mailbox, news.com.au reports.

The German also posted a YouTube video called 'For Laura' - which showed him sawing the items in two, with the caption: 'Thank you for 12 'beautiful' years Laura !!!!! you've really earned half.'

The extraordinary video sees him sabotage his Samsung TV set, his Apple Macbook Pro and his Opel car with meticulous precision.

The clip finishes with a sarcastic sign-off saying: 'Greetings to my successor'.


29BAB9C200000578-0-image-m-3_1434612922390.jpg
Half the workload: He also cut in half his Apple Macbook Pro - now on sale on eBay for around £7


On eBay, most of the destroyed items are listed for just one 1EUR, the equivalent of around 70p.

The most expensive item is the halved Apple Macbook Pro, on sale for 9.50EUR (£6.80)Source: Boyfriend chops EVERYTHING he and his girlfriend owned in two after they split up
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
25,700
36,731
Lakini naona kuna vitu hakuvigawa kwa makini na vipo 60/40, hivyo ina maana ana kesi ya kujibu.
 

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,990
12,465
Du...kweli vituko vipo duniani....nadhani hili ni jipya chini ya jua....
 
  • Thanks
Reactions: kui

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
25,700
36,731
Nafikiri alivyokosea atampa ex wake ile portion iliyo kubwa zaidi kukwepa kesi

Haya game droo, mke aje akusanye vya kwake basi. Duh! maisha ya ndoa majanga, mnachekacheka na kubusiana halafu hatimaye yanaishia katika kumwaga unga na mboga. CC: kui
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
26,515
21,669
Lakini naona kuna vitu hakuvigawa kwa makini na vipo 60/40, hivyo ina maana ana kesi ya kujibu.

Kwa kawaida anayedai kugawana akipewa kikubwa hata kama mwenzie amejipunja hakunaga kesi hivyo huyo aliyedai akipewa hiyo 60% kesi kwishneiii
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
74,053
74,954
Haya game droo, mke aje akusanye vya kwake basi. Duh! maisha ya ndoa majanga, mnachekacheka na kubusiana halafu hatimaye yanaishia katika kumwaga unga na mboga. CC: kui

Habari hii umeleta wewe inasema "ex girlfriend", sasa kwenye u girlfriend na u boy friend kuna ndoa hapo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,464
6,489
Haya game droo, mke aje akusanye vya kwake basi. Duh! maisha ya ndoa majanga, mnachekacheka na kubusiana halafu hatimaye yanaishia katika kumwaga unga na mboga. CC: kui

Aisee!, haya mapenzi, yaani jamaa naona alikuwa possessed na huyo bibie akaamua kukomoa kabsaa!
Lakini afadhali katumia hiyo saw kagawa mali half...(lol!) Kuliko angeitumia kwa huyo bibie!
 

coscated

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
2,875
1,884
Baisikeli/gari angepaswa kuikata kutenganisha kulia na kushoto na sio kutenganisha mbele na nyuma
 

Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,806
22,899
Hahaha you just can't make this stuff up. But he shoulda cut his D! in half too, that way she knows he's for real, knaa'mean!?
 

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
10,017
16,706
Ujumbe tosha kwa wanawake wanaopenda mteremko.Mnafunga ndoa,mnaishi miaka kadhaa then anadai talaka akijua mtagawana mali.Huu ni ungese.

Nakumbuka kuna tajiri flan hivi Uganda mkewe alileta uboya kama huu,wameishi miaka kadhaa then wife akaomba talaka.Jamaa akausoma mchezo,akamwambia ucjali.Akamuua hata kabla hawajapanga vzr jinsi ya kugawana zile mali.

Wanawake wanazingua sometime
 

sunola

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
2,781
1,732
Daah nimeipenda hii unyama unyamani hii ni kali kuwahi kutokea teh teh tehe.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom