Jamaa apasua vipande kila kitu alichomiliki na mkewe, ili wagawane kwa talaka

Hii mambo ni ya uongo na ni fake. Hili jambo sio kweli na ilikua staged kwa ajili ya kufundisha watu kua na umuhimu wa mikataba ya ndoa.

Iliandaliwa na wanasheria wa kijerumani kufundisha watu umuhimu wa mikataba ya ndoa. German Lawyers Bar Association ndio iliandaa huo mpango ili kufundisha watu umuhimu wa mikataba ya ndoa.

Na tayari wametoa official apology kwa watu mliohadaika na hiyo video.
 
Back
Top Bottom