Jamaa akaanza kuchonga kuhusu msosi..!

Jamaa akaanza kuchonga kuhusu msosi..!

Lisa - Kuna dalili zote kwamba wewe na The Boss mnataka kuuchakachua huu uzi.... LOL

Hapana Kaka yangu mpendwa/ mheshimiwa mtambuzi, la hasha mm sitaki kuchakachua ila mm nimecomment kama nijuavyo hali ya watu wa Kanda Ya Ziwa wanavyokula, lakini The Boss anataka mm na Kongosho tugombane ndiyo maana najitetea mapemaaaa, maana hapa unaweza ukaweka kiti moto ukaona JF mbaya.
 
Ugumu mwa maisha ndio unawafanya watu wa mjini mle kwa kuhesabiana, hii tabia hatunaga sie watu wa vijijini, ni kula tani yako lol, mmezidi kumaintain hadi utumbo umenyongenyea, jiachieni bwana pesa zinatafutwa
 
Hahahahaahahaaaa! huyo mgeni wake atakuwa ametokea '' KANDA YA ZIWA" maana wanakata tonge moja kubwaaaaaaaa! halafu wanaligawa mara tatu , "konda, dereva na utingo" la kwanza linamezwa bila kutafunwa, la pili linaenda na nyama na la tatu linamezwa bila kutafunwa. SASA hapo muweke ale na wadada wa hapa Dar wanaojifanya wanarembua wakati wa kula akijakugeuka sahani nyeupeeeeeeeeeeeee!!!!!! .

Tonge na tela lake sio? ila mnatuonea kweli watu wa ukanda huu sijui kwanini, tutake radhi tena kwa maandishi makubwa meusi. Huyo jamaa mzaramo wa Kipalang'anda huyo amezoea kula kwenye shughuli
 
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Mtambuzi we noumerr
 
Last edited by a moderator:
Dah! Huyu jamaa hata kama ci Mawasiliano bado atakuwa ni Talktive,msema hovyo! Kwanza neno baya halipunguzi ukali kulitamuka, inaburudisha kwa msikilizaji,ila kwa muambiwaji,INAKERAA LOL
 
Ugumu mwa maisha ndio unawafanya watu wa mjini mle kwa kuhesabiana, hii tabia hatunaga sie watu wa vijijini, ni kula tani yako lol, mmezidi kumaintain hadi utumbo umenyongenyea, jiachieni bwana pesa zinatafutwa

Wana maintain figure haitoshi na sasa wana maintain mpaka utumbo, ukiona mtu anagonga msosi kwa kwenda mbele ujue alikotoka kuna msosi wa kumwaga hivyo inabidi ujitutumue tu kwani baadae atazoea akiwa anakaribishwa na marafiki mbalimbali ambapo atakutana na msosi ambao kwao unaliwa na mtu mmoja lakini pale wametengewa watu wanne
 
Mtambuzi na wewe muongo, ulisikiaje wakati ulikuwa umesinzia kama unavyoonekana humo kwenye daladala
 
Last edited by a moderator:
Wana maintain figure haitoshi na sasa wana maintain mpaka utumbo, ukiona mtu anagonga msosi kwa kwenda mbele ujue alikotoka kuna msosi wa kumwaga hivyo inabidi ujitutumue tu kwani baadae atazoea akiwa anakaribishwa na marafiki mbalimbali ambapo atakutana na msosi ambao kwao unaliwa na mtu mmoja lakini pale wametengewa watu wanne

umeona eenh, watu wa mjini wanajifanya kula sahani ya mtoto, halafu wanajazia maji ili uzito wa tumbo uwe palepale, ntaendelea kulaumu ugumu wa maisha
 
umeona eenh, watu wa mjini wanajifanya kula sahani ya mtoto, halafu wanajazia maji ili uzito wa tumbo uwe palepale, ntaendelea kulaumu ugumu wa maisha

Wamekuwa wabunifu alafu na wazee wa OPPORTUNITY COST, ile gharama ambayo angenunua chakula cha kutosha ananunua mifuko ya cement ili ajenge nyumba mwisho wa siku nyumba inaisha anakaa kidogo anakufa kutokana afya mbovu uliotokana na virutubisho hafifu siku za nyuma
 
mambo aise Mr Rocky sasa wewe tanga unaenda na nani jamani?

Halafu wewe nivea.. Hayo mazungumzo yenyu ya Kwenda Tanga peleka kule Chit Chat bana, unawaondolea pozi wasomaji wa huu uzi eboooo.....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom