Jamaa akaanza kuchonga kuhusu msosi..!

Jamaa akaanza kuchonga kuhusu msosi..!

nivea niko salama
mambo yako poa
Kwenye mabano hivi na wewe uko single mbona hatuambiani sasa
Niko available we niambie tuu

Mkuu Mr Rocky, hapa ni mwendo wa Matonge tu, mambo ya Tanga peleka Chiti Chat......LOL
 
Halafu wewe nivea.. Hayo mazungumzo yenyu ya Kwenda Tanga peleka kule Chit Chat bana, unawaondolea pozi wasomaji wa huu uzi eboooo.....!

sasa unanisuta au ntakutoa nishai sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
nivea niko salama
mambo yako poa
Kwenye mabano hivi na wewe uko single mbona hatuambiani sasa
Niko available we niambie tuu
nilitaka tu kujua unakwenda nanai tanga kwani wanaokwenda wanatakiwa wawe single tu?
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ushachakachuriwa aisee Mtambuzi taka usitake... nivea ndo kaanza kuuchakachua kwa kuanzisha soa na The Boss .hadi mtoko wa Bwagamoyo umesomeka..lol....nadhani uchakachuriwe tu! ..Halaf isitoshe watu wa ZIWA tushanangwa kuwa ndio wenye matonge na nyama..sasa haki iko wapi??...ngoja na mie nimuulize Suprise kama Tanga ataenda na nani vile..manake nashangaa sibukiwi na niko tayari kwenda...by the way Mr Rocky mzima arifu yangu??....
 
Nenda kule, usidhani uko Kimandolwu hapa..............
Nitakupeleka MATEJOOO ujinga ukutoke.

Mh..huyu nivea tangu aseme anawanyonya??kushika???kufanyeje 0712 wanaume wake namuogopaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ushachakachuriwa aisee Mtambuzi taka usitake... nivea ndo kaanza kuuchakachua kwa kuanzisha soa na The Boss .hadi mtoko wa Bwagamoyo umesomeka..lol....nadhani uchakachuriwe tu! ..Halaf isitoshe watu wa ZIWA tushanangwa kuwa ndio wenye matonge na nyama..sasa haki iko wapi??...ngoja na mie nimuulize Suprise kama Tanga ataenda na nani vile..manake nashangaa sibukiwi na niko tayari kwenda...by the way Mr Rocky mzima arifu yangu??....

hahaha, snowball me naogopa kumchakachua mtambuzi alishanipa warning , anzisha thread ya tanga booking office then tumuwachie mtambuzi uzi wake au nyie mnaonaje, c eti mtambuzi eenh
 
4679619-screaming-gun-man.jpg

Anzia sasa atakayejaribu kuuchakachua huu uzi.................... Patachimbika aiseee..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Acha woga bwana..mbona wengine kimeelewekea hapa hapa...au unaogopa watu??..mzee wa UNUNIO hanaga taabu bwana!

hahaha, snowball me naogopa kumchakachua mtambuzi alishanipa warning , anzisha thread ya tanga booking office then tumuwachie mtambuzi uzi wake au nyie mnaonaje, c eti mtambuzi eenh
 
Naomba nichangie baadaye bro Mtambuzi ...manake kwa sasa NIMECHEKA hadi nimepaliwa....lol
Ama kweli the 'world' is 'universe' ...hasa pale tonge-nyama!!!

mi naona dunia ndo imevaa boxer (kicheko kikali kwikwikwikwiiiii............)
 
Mh..huyu nivea tangu aseme anawanyonya??kushika???kufanyeje 0712 wanaume wake namuogopaaaa...
mbontafo clemeeee huku jamvini porojo sana usiniogope Mentor nakuja huko nipokeeeeeeee sikukuu hiiii .mimi bwana nilisikia madereva hapa ofisini wakiadithia wanavyofanyiwa kila mmaja alikiri hilo hapo ndio raha yao ilipo nisamehe lol hata mimi nilishangaa.
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ushachakachuriwa aisee Mtambuzi taka usitake... nivea ndo kaanza kuuchakachua kwa kuanzisha soa na The Boss .hadi mtoko wa Bwagamoyo umesomeka..lol....nadhani uchakachuriwe tu! ..Halaf isitoshe watu wa ZIWA tushanangwa kuwa ndio wenye matonge na nyama..sasa haki iko wapi??...ngoja na mie nimuulize Suprise kama Tanga ataenda na nani vile..manake nashangaa sibukiwi na niko tayari kwenda...by the way Mr Rocky mzima arifu yangu??....
watu wa kanda ya ziwa espcily wasukuma usicheze nao kwenye kula bora watoto wafe njaa.
 
Back
Top Bottom