Jamaa ajinyonga nyumbani kwake Iringa kasheshe kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa ajinyonga nyumbani kwake Iringa kasheshe kweli

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 4, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Jamaa kakutwa kajinyonga mtaani kwetu iringa kwa wahehe!! kwa wanaojuwa hi habari watujuze jamani mimi nimepata kwenye facebook picha
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  kwa Irnga hii ni habari ya mtu kula mbwa
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wanaroho dhaifu sana, utakuta ni kibuti ndo sababu
   
 4. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Salaaaleeh jamani nini hiki hawa wahehe.......?!?!?!
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  Nilidhani ni yule aliyesema ataanda kiingilio siku ya kujinyonga. Malalamiko anayopaja jk kila kona ya nchi angekuwa anatokea huku nsdhani pale white house angeweka historia.
  Nenda kwa anani ndugu uliyejitundika.
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii mbona kama hoax, nikiangalia urefu toka kiunoni kwa huyo jamaa na kwa hao washkaji zake mbona kama ni kimo sawa, kama kasimama ! Mmhh u smell someting fishy cuz i do
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa wahehe hicho si ni kipaji ujasiri mwingine bana ni upuuzi mtupu hapo anaamini amemkomoa aliyemuudhi.
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hivi hakuna msomi yoyote anayeweza kulifanyia utafiti hili kabila katika haya masuala..??Kwa nini wao ndio wawe wanaongoza katika kadhia hii..??
   
 9. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hili kabila ndio zao; Hata ukimwambia unamkata mshahara kwa uzembe wake lazima ajitie kambani! wanahasira za mkizi hii jamii, sijui ni kwasababu ya zile 'Whou whou' walizokula babu zao au?
   
 10. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Anapinga uonevu wa polisi kwa kuua watu hovyo kwenye mikutano ys CHADEMA. Kajitoa muhanga kupinga uonevu.
   
 11. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  makubwa........
   
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  That is sad and sax
   
 13. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  adobe photosop hiyo
   
Loading...