Jakuzi lina Hisia Gani?

Jakuzi lina Hisia Gani?

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,640
Reaction score
2,233
Jamani nimekuwa nikisikia watu wakinihadithia juu ya Jakuzi...
Naomba mnifafanulie hisia zilizopo ndani ya Jakuzi kwa maana sijawahi kuingia humo hata siku moja!!
 
ina raha yake.....
hivi kuelezea utamu unaelezeaje kwa mfano.....?...mwenye kujua anisaidie......
 
Jamani nimekuwa nikisikia watu wakinihadithia juu ya Jakuzi...
Naomba mnifafanulie hisia zilizopo ndani ya Jakuzi kwa maana sijawahi kuingia humo hata siku moja!!

Hilo ndo lidudu gani!
 
ina raha yake.....
hivi kuelezea utamu u
naelezeaje kwa mfano.....?...mwenye kujua anisaidie......

Kwa mfano kama ina-nyeg*sha ama la, pia kama ni tamu, maji yake yamoto sana yanaunguza....n.k!!
 
lina faida sana na wanawake....wewe ni she...?...nikupe faida zake......?
 
Hilo dubwana linatumia umeme au ?
Kama jibu ni ndiyo, hata umeme wa Solar inawezekana?
 
shem bana.....njoo home ulione.....mi na bebi huwa tunajiloweka humo baada ya mihangaiko ya siku....tunabakiza pua tu kama viboko....ni rahajeee....
 
​Preta tupe hisia zake basi...
 
shem bana.....njoo home ulione.....mi na bebi huwa tunajiloweka humo baada ya mihangaiko ya siku....tunabakiza pua tu kama viboko....ni rahajeee....

Asa Shem,
si unipe basi walau rejea za kwa hadidu, liko likoje? Manaake mara nione hapa kwenye Uzi , linaongelewa mara sijui lina Ny*ge (ashakum) mara hivi !
Mara vile !
Inatuchanganyia habari .
 
shem....si unajua lina bubbles....na unaweza kuzipunguza speed au kuongeza....think shem think.....
 
Sasa kwa mbaaali nimeanza kunata na bit !
Kumbee !
Siku zooote hizi mwafaudu nyie tu Shem?
Hamtutonyi ? Nachelea kukwambia Selfish wakati pengine ni Selmeat !
Ok nitamshauri Laazizi wangu BN nimsikie atasemaje .
 
habari ndio hiyo shem.....hayo ndio mambo ya jakuzi.......

Back
Top Bottom