We jamaa umejibu kiccm Sana yaniNdio mnavyodanganywa hivyo mtaani?
Hivi unajua kuwa rais aliyopo madarakani au msataafu akipata tatizo lolote awapo safarini nje ya mkoa anaoishi lazima RPC wa mkoa husika awe responsible?
Na je RPC huyo anatakiwa kuwa na gari ngapi za ku escort msafara wa raisi?
Na je RPC anaweza kuusindikiza na kuusubiria msafara wa rais alafu RTO awe kalala tu na mkewe nyumbani?
Hopital ya mkoa watajibu nini endapo raisi atapata ugonjwa wa ghafla na kukosa huduma kwa kutokutoa ambulance?
Nimekufungua macho kidogo tu but ukiona anatumia gari 10 jua hana mambo mengi la sivyo kwa uchache ni gari 15+ zinahitajika kuwepo kwenye msafara
sina chama mkuuWe jamaa umejibu kiccm Sana yani
Kwahiyo unataka treatments za rais wastaafu wa SA ziwe sawa na za wastaafu wa Tz?Kwa upumbavu huu ,nchi hii ina safari ndefu ya kujikomboa maana naona middle class karibu wengi wameoza kichwani, President Mandela baada ya kustaafu msafara wake haukuzidi 3 cars (including police sweep car)na hata wakati wanampeleka hospital, Ambulance yake ilipata breakdown na ilichukua muda msaada kumfikia,President H&H misafara yake haizidi 4 cars!,President CR misafara yake haizidi 4 cars, President wa Botswana msafara wake 3 cars!!,Tanzania tumekosea wapi?
the present shadow presidaaaaa!!!!! wewe ni aje arifu,nusaga ugoro siku mojamoja upige chafya!!Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!
Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!
Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!
Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!
Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!
Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
hivi alishastaafu urais mstaafu?....ukishakuwa rais hizo previlege mpaka ufe. tuvumilie tu. Hapo bado hujaona msafara wa ndugai-spika mstaafuToka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!
Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!
Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!
Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!
Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!
Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Ulipata Ajira kupitia awamu zakel au ulitoboa kimasihara kwanue awamu zake pia,,Zote zinaweza kuwa sababu.I luv u J.K ,Allah akupe maisha marefu babu....![]()
Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!
Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!
Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!
Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!
Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!
Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Sasa ipo siku Watakuja Magufuli (Anarchists) sita kwa Mkupukuo na wao watatengeneza system yao.Yuko wapi Magufuli Leo?ukijiuliza na kupata jibu rejea kwenye comment zangu za juu utapata majibu zaidi
Inahitataji muda na akili kubwa sanaSasa ipo siku Watakuja Magufuli (Anarchists) sita kwa Mkupukuo na wao watatengeneza system yao.
Kunashida gani kwa Mzee wetu na kipenzi chetu kumbuka ameijenga sana nchi mpaka hapa leo mlipoToka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!