Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!

Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!

Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!

Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!

Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!

Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Alikua huko kama mkuu wa UDSM, kutembelea sehemu za tafiti za malikale, hivyo huo msafara haukuwa wa magari ya rais mstaafu pekee kulikuwa na wakurugenzi wa makumbusho ya taifa, mkuu wa chuo na taasisi na idara nyengine za serikali ambao viongozi wake walikua sehemu ya ziara hiyo. Hata hivyo kwa kawaida kama alivyokua Mwinyi na mkapa alipokuwa hai, JK hutembea na gari zisizozidi 4.
 
Nchi tajiri hii, misafala hiyo yote tunatumia pesa zetu wenyewe, hatujaenda kukopa kwa mabeberu
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewataka Watafiti wa masuala ya Malikale kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania kushirikiana katika kufanya tafiti katika eneo la Tendaguru, Mkoani Lindi yalipogundulika masalia ya Dainosaria ili kubaini endapo kuna masalia zaidi au aina nyingine ya Dainosaria.

Dkt. Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amesema hayo alipotembelea eneo la Tendaguru kujionea kazi ya utafiti inayoendelea kufanywa na Wataalamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Wataalamu wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania.

Dkt. Kikwete amewapongeza Wataalamu hao kwa kazi ambayo wameanza kuifanya ambapo wamegundua masalia mengine ya Dainasoria hao na kuwataka kuendelea kufanya utafiti kwa kushirikiana ili kugundua masalia mengi zaidi ambayo yanaweza kutunzwa na kuwa kivutio cha utalii nchini.

“Muendelee kufanya utafiti katika eneo hili ili muweze kupata masalia mengi zaidi ya Dainasoria au aina nyingine inayofanana na waliogundulika awali ambayo yakikusanywa na kuhifadhiwa vizuri yatakuwa kivutio cha utalii wa nchi yetu, sisi kama Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tupo tayari kushirikiana na Makumbusho ya Taifa katika kufanya tafiti mbalimbali katika eneo hili”

Itakumbukwa mwaka 1908 Wajerumani walifanya tafiti katika eneo hilo la Tendaguru na kugundua mabaki ya mifupa ya Dainasoria hivyo, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewataka Watafiti waendelee kufanya tafiti zao ambazo wamekwisha kuzianza na kugundua masalia mapya na kwa kufanya hivyo watagundua masalia mengi zaidi.
 
Mi nawaambia ipo siku mapinduzi yatafanyika nchi hii na atakuja raisi mwenye uchungu...Kikwete (Au familia yake itakayokuwa hai wa kipindi hiko) watatoroka nchi.
Mkuu, familia ya kikwete unaijua vizuri?
Unazijua na familia zingine zilizoungana na familia ya Jk ambazo zinatutawala tangu enzi za wakoloni,sasa na hata baadaye?
Hii familia imejijengea mizizi,ushawishi na umaarufu mkubwa sana na huwa wanarithishana viatu na kofia ambazo sisi wengine kuzivaa ni either ujiunge nao au uwe against them for your own risk.
 
hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Tatizo ni kwamba Wana tabia ya kurithishana viatu na kofia ambazo sisi wengine kuzivaa ni either you join them or be against them for your own risk.
Kwani Magufuli walimrithisha? Trust me, ipo siku kna namna itatokea na itabidi hizo familia zitorke nchi,,,Na wao wanajua hilo ndomaana wanaficha hela nyingi nje
 
Yuko wapi Magufuli Leo?ukijiuliza na kupata jibu rejea kwenye comment zangu za juu utapata majibu zaidi
 
Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!

Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!

Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!

Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!

Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!

Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Kikwete ni shujaa, ingeliwezekana mstaafu kama anaweza pewa urais angelistahili, "He know how to fix"
 
Waziri Mkuu wa Uingereza (mkuu wa serikali) anaposafiri kutoka airport hadi 10 Downing ana magari mawili tu - moja la kwake na moja la mpambe - hawa ni watawala wetu. Sisi waomba ruzuku tunataka magari 20
 
Lakini nakumbuka almanusura chama kimfie mikononi huyu mwamba....
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.....
Uungwana ulimzidi ndio sababu. JK ni mtu wa watu mcheshi mzalendo mpenda haki anayechukia uonevu anapenda kujumuika haringi hajidai /hajikwezi,asiyependa kuabudiwa. Kama fudenge.
 
Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!

Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!

Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!

Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!

Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!

Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Kubwa la majambazi kutoka ccm,
Alikuwa Raisi,awamu yake,watu waliiba balaa,kama mawaziri walichuma ukwasi wa kutisha,sembuse Raisi,
Huyu ameiba sana,watoto wake wameiba sana,kwa ufupi,ni mmoja wa wanufaika wa utawala wa ccm,
Tutakapo amua kupindua nchi,mali zote za viongozi wastaafu,maraisi,makamu,spika,na mawaziri wakuu,asilimia 95!itabidi zitaifishwe ziwe za umma.
 
Mwaka 2018 wakati Hayati Magu alikuwepo madarakan, Kikwete alikuja kwenye gradu pale UD akiwa na gari 3 tu.
Uongo.
Wakat wa magu alikuja Iringa mkwama pale chuo alikuja na msafara kabisa na ving'ora barabara yote ilifungwa kuanzia samora mpaka Muce.
 
Back
Top Bottom