Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

Sasa wewe mwenyewe ulishamwita rais mstafu halafu unauliza tena kwanini ana msururu mrefu wa magari na magari yenyewe hayazidi 20
Kuna uzi fulani humu unaelezea benefits wanazopata ma rais wastaafu kwa mujibu wa sheria nadhani jamaa angeuona asingefungua hata huu uzi
 
Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!

Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!

Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!

Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!

Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!

Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Wapo magaidi kule. It is chaos. The north of the country is safe. Huko kusini kuna magaidi..
Na bado. Kwa ajili ya hii Vita ya Ukraine,silaha zipo nyingi sana katika soko la dunia .
Rais wetu,you will notice,ni mvivu sana kwenda kuirembelea hiyo mikoa ya kusini.
 
Kikwete hana njaa mkumbuke tu. Mzee anaishi maisha yake wala haumizi kichwa kuhusu mafuta ya gari wala kula na kuvaa yeye na familia yake.

Akiamua tu anaweza hata convoy yake akaijaza Lexus tupu. Badala ya V8 na hamna kitu mtafanya.
Point
 
Mi nawaambia ipo siku mapinduzi yatafanyika nchi hii na atakuja raisi mwenye uchungu...Kikwete (Au familia yake itakayokuwa hai wa kipindi hiko) watatoroka nchi.
Tuonyeshe kaiba nini wewe mpuuzi Acha chuki za kijinga,kwahiyo unataka kupindua Serikali
 
Sasa wewe mwenyewe ulishamwita rais mstafu halafu unauliza tena kwanini ana msururu mrefu wa magari na magari yenyewe hayazidi 20
Watu wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa kwa dunia hii. Nchi inakopa mchana na usiku halafu unaona ni kawaida kwa rais mstaafu kuwa na msafara mkubwa? Kwani magari mawili au matatu hayatoshi? Idiot!
 
Ndio mnavyodanganywa hivyo mtaani?

Hivi unajua kuwa rais aliyopo madarakani au msataafu akipata tatizo lolote awapo safarini nje ya mkoa anaoishi lazima RPC wa mkoa husika awe responsible?

Na je RPC huyo anatakiwa kuwa na gari ngapi za ku escort msafara wa raisi?

Na je RPC anaweza kuusindikiza na kuusubiria msafara wa rais alafu RTO awe kalala tu na mkewe nyumbani?

Hopital ya mkoa watajibu nini endapo raisi atapata ugonjwa wa ghafla na kukosa huduma kwa kutokutoa ambulance?

Nimekufungua macho kidogo tu but ukiona anatumia gari 10 jua hana mambo mengi la sivyo kwa uchache ni gari 15+ zinahitajika kuwepo kwenye msafara

Nadhani upo sahihi, ila hii inafanya kwa safari ambayo ni rasmi ila sio kwa matembezi yake binafsi!
 
Watu wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa kwa dunia hii. Nchi inakopa mchana na usiku halafu unaona ni kawaida kwa rais mstaafu kuwa na msafara mkubwa? Kwani magari mawili au matatu hayatoshi? Idiot!
duh idiot tena
 
Kwa upumbavu huu ,nchi hii ina safari ndefu ya kujikomboa maana naona middle class karibu wengi wameoza kichwani, President Mandela baada ya kustaafu msafara wake haukuzidi 3 cars (including police sweep car)na hata wakati wanampeleka hospital, Ambulance yake ilipata breakdown na ilichukua muda msaada kumfikia,President H&H misafara yake haizidi 4 cars!,President CR misafara yake haizidi 4 cars, President wa Botswana msafara wake 3 cars!!,Tanzania tumekosea wapi?
Nadhani hii point ungeiacha haiongezi uzito wowote katika argument yako..., Binafsi mimi nadhani hawa jamaa hata wangekuwa ni gari moja tu inatosha au ikibidi hata public transport.... (if its good for the public its should be good for them) LAKINI suala la Ambulance kupata breakdown ni uzembe na upuuzi hata kama ni kichaa anapelekwa hospitali haitakiwi kupata breakdown
 
Akiamua kununua yakafikia kumi sheriya ina mzuiya?
Yaani watu waache kazi zao za kutafuta Tozo ya kumlipa yeye sababu wamesimamishwa barabarani ili jamaa apite na gari zake 10..., Sheria sio msaafu kama haina tija inaweza kubadilishwa
 
Sasa wewe unataka kujilinganisha na kikwete,kwa kuwa wewe unasaga lami na Kikwete afanye hivio hii itakupelekea kuwa chukia wenye nacho
Kati ya hawa so called wasaga lami na wale ambao wameomba kuwatumikia wasaga lami ni nani ana umuhimu katika hii nchi ? Tatizo la hawa walamba asali kulamba kupita kikomo ni mentality ya watu kama wewe......

f25d76384ba4f14532a48b92d3516ef4--motivational-posters-mondays.jpg
 
Akatazwi kama gari zingine ni zake tu binafsi kwa ajili ya ulinzi, kuna visanii tu mkwala vina msafara wa magari kama 20 Na walinzi kem kem, sembuse raisi mstaafu
Wasanii wanalipwa na Kodi zetu ?, na hao wasanii wanasimamisha shughuli za watu kila waendapo
 
Toka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!

Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!

Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!

Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!

Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!

Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Anawaonesha ukweni kuwa bado anavuma!
 
Ndiiyo hasara ya kuwapa mabwege urais.
 
Ushamba tu huo wa ma RPC wa huku mikoani maana hadi mawaziri huwa wanawafungia barabara wapite.

Mwaka jana na mwaka juzi nikiwa nipo idara nyeti dodoma kule hawana ishu hata kidogo wanapita tu bila kufungiwa barabara kama watumiaji wengine wa barabara na hakijawahitojea kitu, ushamba tu na uoga wa viongozi wa vyombo vya dola huku mikoani.

Wawaige Dodoma ni Rais, Makam, PM, Rais Wa Zenji, Makam wake na Makam wa Pili tu Basi
 
Msafara wangu tu una magari saba sembuse wa JK.

Mimi huwa nikisafiri, nakuwa na gari yangu, gari nne za wake zangu hapo tano tayari, hizo mbili zinabeba mizigo yangu na wake zangu.
 
Back
Top Bottom