Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 468
- 1,117
- Thread starter
- #41
Unajua vizuri protocol??Akiamua kununua yakafikia kumi sheriya ina mzuiya?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unajua vizuri protocol??Akiamua kununua yakafikia kumi sheriya ina mzuiya?
Unajua protocol???Akiwa mjini hata mwinyi utumia magali 3 na pikipiki kubwa ya polisi inayo tangulia swali je akiamua kununua yakafikia 10 sheriya inamkataza?
Sasa wewe unataka kujilinganisha na kikwete,kwa kuwa wewe unasaga lami na Kikwete afanye hivio hii itakupelekea kuwa chukia wenye nachoKutoka Sea View Hotel pale Lindi hadi pale kwake Mtanda Lindi! Unaweza kutembea hata kwa mguu tu! Sasa huo msafara na msururu wa magari ya nini??
Sio samia tu hata magu alikuwa akimtuma kumwakilisha baadhi ya nchiSamia anamuhitaji sana jk
Hata mwezi hujamaliza hapa JF tangu ujiunge unaanza kutoa pumba kama hizi! Kweli JF siku hizi hana tena ma big tanks!Sasa wewe unataka kujilinganisha na kikwete,kwa kuwa wewe unasaga lami na Kikwete afanye hivio hii itakupelekea kuwa chukia wenye nacho
Kila mtu na uamuzi wake Mkapa sio Mwinyi wala Magu sio KikweteHata kama akiwa safari! Huwezi kua na ule msafara! Labda kama kuna mambo mengine nje ya tujuayo! Mkapa kaja sana Lupaso kwao na hakua na huo msafara! Mwinyi kila siku anaenda kwenye mashamba yake huko mkuranga hana huo msafara
Unaandika ujinga tu! Ngoja niachane na weweKila mtu na uamuzi wake Mkapa sio Mwinyi wala Magu sio Kikwete
Magu mwenyewe alikuwa anamtuma kumwakilisha baadhi ya nchi,alafu unajuaje kuwa huo msafara unagalamiwa na serikali kwa Kikwete masikini kama wewe?magu aliwabana sana wala kodi zetu dizain hii, huyu mama ndio anawaendekeza halafu anatutaka tulipe matozo kibao
Ni kweli.Sio samia tu hata magu alikuwa akimtuma kumwakilisha baadhi ya nchi
Kwanza nyiyi mnao jifanya amjui kiswahili ndio wabaya sana mkipata nafasi serikaliniKwa upumbavu huu ,nchi hii ina safari ndefu ya kujikomboa maana naona middle class karibu wengi wameoza kichwani, President Mandela baada ya kustaafu msafara wake haukuzidi 3 cars (including police sweep car)na hata wakati wanampeleka hospital, Ambulance yake ilipata breakdown na ilichukua muda msaada kumfikia,President H&H misafara yake haizidi 4 cars!,President CR misafara yake haizidi 4 cars, President wa Botswana msafara wake 3 cars!!,Tanzania tumekosea wapi?
Unadhani magu kama asinge kufa akamaliza vipindi viake vizuli serikali ambayo ingekuwa madarakani isinge mpa hishika kama hizo?Usisahau pia ni kaka mtu eeh? Ametoka kwa wakwe zake huko Lindi.
Nyani aoni kunduleHata mwezi hujamaliza hapa JF tangu ujiunge unaanza kutoa pumba kama hizi! Kweli JF siku hizi hana tena ma big tanks!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ujinga sifa yangu we sifa yako upumbafu
Muhimu alindwe maana anasagiwa kunguni mno bila sababuToka mwaka mpya umeanza nipo kusini mikoa ya Lindi na Mtwara napambana na maisha yangu yakujiandaa na uzee wangu, maana kula na tafuna kabisa mfupa ukiwa bado na meno mdomoni, hapa maana yangu nikufanya kazi kwa nguvu zote nakujiandaa kwa ajiri ya uzee!
Basi bwana, jana nikiwa pale Lindi hospitali ya Mkoa, Sokoine! Nikaona msururu wa magari yakipanda kwenda kule juu Mtanda! Polisi wa usalama barabarani wakizuia magari ili ule msafara uweze kupita! Basi bwana kuna jamaa akaniambia huyo ni Kikwete yupo hapa ana siku zaidi ya 3!
Leo asubuhi mida ya saa tano hivi,nikaanza safari yakurudi zangu Dodoma! Nikiwa njiani dereva aliona gari ya polisi inakuja kwa kasi mno,ikiashiria tupishe njia, bila hiyana dereva alipisha! Ukapita msururu wa magari yakiwa yanatembea kwa mwendo kasi sana!
Basi tukafika pale SOMANGA! Tukayaona yale magari yakiwa yamesimama kwa pembeni kuna watu wengi, nami nikatupa jicho nikamuona Mzee Kikwete akinunua samaki pale, sababu pale ni sehemu ya kula chakula,tukasimama pale,tukala na Mzee Kikwete aliingia hadi ndani ndani kabisa kununua samaki!
Basi sisi tukaanza safari tukawaacha wao pale, kabla hatujamaliza mpaka wa Lindi na Pwani, tulimkuta pale RPC wa Pwani akisubiri msafara ule aupokee na RPC wa Lindi arudi zake Lindi!
Sasa swali langu, kwa nini Mzee Kikwete ana msururu wa magari mengi vile?? Yaani zilikua gari zaidi ya 10! Na zote ni V8 VX na gari yake Nissan VX zile walizopewa marais wastaafu!
Unaita wenzio wapumbavu Kwasababu umejawa na propaganda.Kwa upumbavu huu ,nchi hii ina safari ndefu ya kujikomboa maana naona middle class karibu wengi wameoza kichwani, President Mandela baada ya kustaafu msafara wake haukuzidi 3 cars (including police sweep car)na hata wakati wanampeleka hospital, Ambulance yake ilipata breakdown na ilichukua muda msaada kumfikia,President H&H misafara yake haizidi 4 cars!,President CR misafara yake haizidi 4 cars, President wa Botswana msafara wake 3 cars!!,Tanzania tumekosea wapi?