Museveni na Paul Kagame ni wanafunzi wa school of thought ya Mwl.JK Nyerere. miungoni mwa vipumbele vyao ni usalama at all cost na ukichunguza maendeleo ya kiuchumi hayaji bila usalama.
Cha kujiuliza Je sisi watz lini tutarejea ktk hali ya usalama,kwa sasa uwezi tembea na simu nzuri bila woga wa kuporwa njiani,alafu tunajiona tupo salama,wakati wa julius haukuweza kuiba kitu kirahisi.
Sasa hivi mwizi wa mali ya umma yupo salama kuliko asiyeiba mali za umma.
Simfagilii Paul Kagame, ila kwa hilo kajitahidi,naomba mungu nasi tz turudi ktk usalama wa kweli wa mtu kutembea bila woga wa kuibiwa na pia mwizi wa mali za umma kuadhibiwa kwa viboko na kutaifishwa mali zake.