JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Wazaramo,wajita,wajaluo,wamasai majuzi nimesikia na wahadzabe wameongezeka mkuu!!
Ok, nafikiri naongea na mwendawazimu. Nashukuru kwa Taarifa.

Dah! jamaa alikuwa hajiamin hadi avae bulletJK ametuna kweli kweli. Hapo atakuwa amevaa bulletproof kama tatu hivi.