jk kaenda kikazi karudi kwenyemajukum yake, nyie mbaki na mipichayenu juuyenu, kama angekua anawaogopa asinge kanyaga rwanda lakini katua pia karuka
Wanyarwanda hawana hamu na JK kawatandika halafu kafanya ziara Rwanda.
JK wetu yeye hanaga roho ya korosho,yeye kaenda kuwaonyesha ubabe wa mujini Dar na hata yule sijui mnamuita Uhuru naye apuonguze wivu na Bongo,nayeye tukitaka kumfanyia mbaya tutamfanyia na uwezo tunao.:canada:yup! naye angeweza kufanya hivyo, kama aliweza kumualika basi kuitika wito vilevile visingemshinda, ngoma draw, kwenye hili wote wameonyesha ustaarabu!!!
Jamani hebu kuweni wastaarabu basi, hivi hamuoni hiyo PETE?
Sijakuelewa hapo mkuu wangu,nakuomba unifafanulie kidogo. Mr Murage:canada:sisi kwetu kupokelewa na mwanamke anayenukia manukato ni baraka kuliko kupokelewa na mwanaume anayenuka jasho na tumbaku mdomoni
hahah daah una mikwara ya kitoto kama ya fdlr vile ,hahahHayo sisi wabongo ni maeneo yetu kaka. wewe waache warukeruke tu. Ka ikulu kao tukitaka ni dakika tu tunatia timu pale.
Kagame anamdharau sana huyu jamaa..uhuru as well anamdharau sana jk kaenda kwenye mkutano katumwa seneta wa baringo kwenda kumpokea
Ahahaha wazee wa jenosaidi. Naona kila siku mnabadilisha ID tu. Nyie ni miksa ya kibongo. Kiswahili chenu kinajieleza chenyewe.
Mbona mshikaji hakum hit JK katia timu mpaka huko?
Pitia kidogo hapa ndo utajua kama atakaa nao au la!Nadhani kapitia tu Kigali kusisitiza genocider akae na fdlr
Sijakuelewa hapo mkuu wangu,nakuomba unifafanulie kidogo. Mr Murage:canada: