GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.

Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, Kikwete amesema gari lililopata ajali lilikuwa linamilikiwa na rafiki yake ambaye alikuwa akisafiri na watoto wake pamoja na dereva.

Ameongeza kuwa hakuna mtu aliyedhurika kwenye ajali hiyo, huku akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.

Soma Pia: Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.

Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, Kikwete amesema gari lililopata ajali lilikuwa linamilikiwa na rafiki yake ambaye alikuwa akisafiri na watoto wake pamoja na dereva.

Ameongeza kuwa hakuna mtu aliyedhurika kwenye ajali hiyo, huku akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.

View attachment 3468351
Huyu Kivuruge angekufa ingekuwa bomba sana
 
images (15).jpeg
 
Ukiona hivyo ujue people are fed up. Wanatamani hilo genge la majambazi li-perish lote, jambazi mmoja baada ya mwingine!
 
Ile video mimi sijaona au? Nani alikuwa anakwepwa barabarani? Dereva alikuwa anamkwepa mtu aliyekuwa barabarani? Kwenye msafara?

Ushahidi wa video wanakanusha hivi, imagine ushahidi usio wa video wanavyouchezea
 
Hivi kuna jambo lolote lisemwalo na Kikwete ukaliamini?
Katika watu 'bogus' kabisa ndani ya nchi hii, huyu ni miongoni wanao ongoza kwa tabia zao mbovu.
 
Back
Top Bottom