Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,742
Weka vigezo vya kutokumpenda ili tusimpende sote.Sikupendi wewe
Weka vigezo vya kutokumpenda ili tusimpende sote.Sikupendi wewe
Lini magu ataanzsha miradi yake yenye tija,
bora angebak Jk had projects zikamilike.
siku ukienda msoga mwambie watanzania wanam miss!! alafu mwambie huyu aliyetuletea sio kiongozi! kama akipata nafasi awe anamfundisha jinsi ya kuwa kiongozi kama yeye
siku ukienda msoga mwambie watanzania wanam miss!! alafu mwambie huyu aliyetuletea sio kiongozi! kama akipata nafasi awe anamfundisha jinsi ya kuwa kiongozi kama yeye
Kikwete ni kiongozi wa maisha.
= ujasiriamali
viongozi wa maisha ni watatu (3) tuu
1:Mwl nyerere
2:nkurumah
3:mzee madiba
basiiiiii
Hivi sefue hajapangiwa kazi nyingine aliyo ahidiwa?
Nilikua namuelewa sana enzi akiwa ikulu kabla ya kutumbuliwa na bwana yule
sijazungumzia waliacha nini bali ni viongozi wa MAISHA (everlasting life)Hao wengine sielewi kiundani habari zao lakini huyo namba moja, aling'atuka nchi ikiwa hoi bin taabani. Hawezi kufikia hata robo ya mafanikio ya Kikwete kwa miaka yake 24 aliyokuwepo madarakani. Hata dhanna yake ya Ujamaa na Kujitegemea ilimshinda. Uchumi ndiyo usiseme, tulikuwa masikini wa wisho duniani wkati wake.
Ukija kwenye afya ndiyo yaleyale! average life expectancy ya Mtanzania ilikuwa miaka 40 tu.
Ameshindwa miaka 10 akiwa kama Mkuu wa Nchi, ataweza sasa hivi akiwa kapuku wa Msoga?
Maajabu hayawezi kuisha Nchi hii.
sijazungumzia waliacha nini bali ni viongozi wa MAISHA (everlasting life)
ukipewa nitumie nami pm niombe mkuu maana sifa zipo tele tuu
Kah!!! pohambaUlitaka ashindanishe usambazaji wa Vilainishi vya vifirio?
KUHUSU VYETI NA UWEZO WA UTENDAJI USIJALI MKUUUna uhakika mkuu au una vyeti kama vya DAABA???
MKUU UMDHANIAYE NDIYE......Una uhakika mkuu au una vyeti kama vya DAABA???
Hii itakuwa ya kuwinda watu na kuwalenga bunduki.. ZSubirini sizonje foundation