Jaji Werema hatufai

Jaji Werema hatufai

Naomba ninyamaze kuhusu huyu mzee..kimsingi sijawahi kufurahishwa na majibu yake hata siku moja na yanaudhi kwakweli ..nina mengi sana ya kuzungumza lakini kama samaki baharini..too bad hii thread imeniharibia siku na kunimbusha mbaaaliiiiiiiii..

Huwezi kufurahishwa na majibu yake kwa vile wewe siyo mwanasheria kwa maana hiyo hata anachokuwa anajibu huwezi kukielewa mkuu hasa ukizingatia umezoea kujisikia majibu ya wanasiasa.
 
Tatizo lenu washabiki wa Chadema kila mtu mnafikiri mnaweza kumfanya kama mlivyomfanya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wenu wa BAVICHA.Huyu ni chaguo la Rais wa Tanzania na yuko kwa maslahi ya watanzania siyo ya wana chadema kama wanavyotaka.

Exactly, akili zao kama za LEMA tu.
 
Mkuu mbona umechelewa sana kulifahamu hilo?
Akili zake kama zako tu, kwani wewe kuna siku ulimwelewa Werema kweli zaidi ya kushabikia kinachosemwa na akina SUGU, LEMA WENJE , VICENT na wengine wenye akili kama hizo.
 
Huwezi kufurahishwa na majibu yake kwa vile wewe siyo mwanasheria kwa maana hiyo hata anachokuwa anajibu huwezi kukielewa mkuu hasa ukizingatia umezoea kujisikia majibu ya wanasiasa.

kwahiyo kila anacho ongea ni majibu ya kisheria si ndio? hata pale anapotoa majibu ya hovyo bungeni ni majibu ya kisheria sio?!! kweli we ni great thinker! kudos!
 
nafasi hizi za mwanasheria mkuu wa serikali, jaji mkuu, Mkurugenzi Takukuru, DPP, ziwe za kuomba na kuchaguliwa na bunge. ufanisi utakuwa wa hali ya juu
usaili ufanywe na bunge ili wawajikie kwa bunge na sio kwa rais
hili liwe kwenye katiba mpya tuitakayo
 
Tatizo lenu washabiki wa Chadema kila mtu mnafikiri mnaweza kumfanya kama mlivyomfanya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wenu wa BAVICHA.Huyu ni chaguo la Rais wa Tanzania na yuko kwa maslahi ya watanzania siyo ya wana chadema kama wanavyotaka.
Tatizo lako unafikiri kwamba wote wlioko jaii forum unadhani ni CDM. Na basi kama unaona michango mingi inasapoti maoni ya CDM basi ujue jamii kubwa ya watanzania ni CDM Hii ni JAMII FORUMS na sio Chadema kila mtu kwa itikadi yake yuko huru kuchangia
 
images


CHADEMA lazima isambaratoike ndani ya mwaka huuuu.Teheeeeeeee teheeee theeeeeeeee
 
Niko kwenye ofisi fulani hapa Bongo. Huyu jaji werema kwa wiki anaweza kuja hapa ofisini kwetu kama mara 2 au 3 .

Yaani akiingia hapa ofisini vituko anavyofanya na maongezi anayoongea na mabosi wangu ni utumbo mtupu na huwezi
amini kama kweli huyu ni mwanasheria mkuu wa serikali....anapotoka huku nyuma mastaff wote tunabaki kumdiscuss
yeye na kumlaumu Rais Kikwete kwanini alimteua mtu kama huyu kuwa mwanasheria mkuu wa serikali. Yaani jaji Werema
ni kiongozi wa wapumbavu duniani.
 
Hata kijijini kwao huko Bolanga/kongoto hawamtaki hata akifiwa hawaendi kilio kwao,
 
Tatizo siyo Werema, tatizo upeo wako wa kupembua kilichosemwa na Werema.
Kweli JF kuna watu na viatu.Wewe kweli mjinga,mimi unanifahamu mbaka univae kama unavyoivaaga chupi yako!jiheshimu ili uheshimiwe!
 
Akili zake kama zako tu, kwani wewe kuna siku ulimwelewa Werema kweli zaidi ya kushabikia kinachosemwa na akina SUGU, LEMA WENJE , VICENT na wengine wenye akili kama hizo.
Kwa ujinga ulionao,na kwa jinsi ulivyojivua ufahamu,kamwe uwezi kuelewa nachokisema!
 
TATIZO LA WEREMA anachanganya sheria na siasa, sheria na maslai yake ama ya wachache ndio maana aniharibu sheria.
na kwa sababu hii sitamuheshimu kama mwanasheria mkuu wa serikali.
 
Hivi huyu c ndiye alie sama kua serkali haina fedha kuandaa mchakato wa katiba mpya? Huyu hafai kabisa, pale alipo kawekwa tu na kanisa!!
 
Tatizo lenu washabiki wa Chadema kila mtu mnafikiri mnaweza kumfanya kama mlivyomfanya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wenu wa BAVICHA.Huyu ni chaguo la Rais wa Tanzania na yuko kwa maslahi ya watanzania siyo ya wana chadema kama wanavyotaka.

chaguo la mungu
 
Hivi huyu c ndiye alie sama kua serkali haina fedha kuandaa mchakato wa katiba mpya? Huyu hafai kabisa, pale alipo kawekwa tu na kanisa!!

Hapo kwenye red: Kwani kachaguliwa na Askofu. Nina wasi wasi na uelewa wako
 
Back
Top Bottom