Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

Status
Not open for further replies.
Lissu is another class -- Kama ni Kandanda basi yeye ndiye Messi wa Sheria - tukubali tukatae.
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA TUNDU LISSU ndiye MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA EAST AND CENTRAL AFRICA TANGU MUNGU AUMBE MBINGU NA ARDHI .
 
MH, WARIOBA AMKUKUWAFAIR AMEELEZA MAMBO KWA UWAZI ILI KILA MTU AJIPIME UELEWAWAKE JUU YA LILE AMBALO ANATARAJIA KUCHANGI AU KUPINGA MAONI YA WANANCHI KWENYE KATIBA.

MH TUNDU LISSU MWANZONI HAKUELEWEKA LEO MAJIBU KAJA NAYO MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA.:flypig:
 
leo kaonyesha werema ni mtaalamu wa kugeuza kichwa kuw bustani ya nywele
 
Lissu is another class -- Kama ni Kandanda basi yeye ndiye Messi wa Sheria - tukubali tukatae.

....ukweli huu mtamu unawachoma sana wazee wa buku 7,ngoja waje kutapika hapa....
 
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba,amesema kuwa hana haja ya kumsikiliza Wakili Tundu A.M.Lissu tena kwakuwa sasa ametosheka na maelezo yake.Jaji Warioba alikuwa akizungumza nami nilipomdadisi juu ya aliyoyasema Wakili Lissu AICC kwenye Mkutano wa Mawakili ambapo Jaji Warioba pia alikuwepo. Jaji Warioba akasema kuwa maoni na uchambuzi wa Wakili Lissu mbele ya Mkutano wa Mawakili vinatosha kuitwa 'maoni Mujarabu ya Katiba Mpya'.

'Lissu ni mwakilishi wa wengi.Kukosoa kwake mfumo wa Sheria kusipuuzwe' alisema Jaji Warioba. 'Naweza kusema kuwa sina haja tena ya kumsikiliza Mh. Lissu kwakuwa nimeshamsikia na kuchukua maoni yake....natania lakini' aliongeza Jaji Warioba.

Maoni yangu: Jaji Warioba amempa 'salute' Wakili Lissu.Ameamini kuwa Lissu anatisha

Leo upo Lumumba au Dodoma?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom