Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

Status
Not open for further replies.
lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira , na si mtaalam wa sheria za katiba, muulize yeye mwenyewe atakuambia. Mabingwa wa sheria za katiba ni mwakyembe na prof. kabudi, upo hapo???

mbona umemsahau prof. Shivji, na dr. Mvungi
 
Nimeshangaa mawakili wengi waliokuwamo mle ndani walikua wanacheka tu kama vile yale mambo mazito hayawaingii...Lissu ni mtu ana ufahamu mkubwa sana wa sheria..hata majudge wengi sana wanamuogopa...na ukweli wa kesi nyingi kuchelewa sio kwasababu ya wingi wa kesi pia ukilaza kwenye tasnia ya sheria!!

Majaji wengi unaowasema si ndo aliotuonyesha kwamba hawastahili hata kufanya kazi ktk ofisi ya jaji mbali na kuwa wao ni majaji?
 
Jamani na msikie tu,Wakili Tundu Lissu anatisha kama njaa...
 
LISSU, the one I respect!!! Ni kichwa and Warioba nampenda kwa ukweli wake daima.
 
happy Birthday Justice Warioba, japo nilitenga separate thread kwa jili ya hili.
 
lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira , na si mtaalam wa sheria za katiba, muulize yeye mwenyewe atakuambia. Mabingwa wa sheria za katiba ni mwakyembe na prof. kabudi, upo hapo???
Naona umerejea kwa kasi Tanzania ukitokea Ethiopia Baada ya Hasira za kutopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mazishi ya Meles
 
Wewe jamaa huwa ni KİLAZA sijapata kuona mbadala wako. Jitu ambalo limekwenda shule kwa kuungaunga then halijaelimika utalijua tu. Shame on you

Mkuu hapo kwenye maoni yako mbona umesema sivyo ? ww mwenyewe umesema alisema anatania tu, kwa lugha ya kifasihi ina maana kuwa amemuona yeye ni mweupe na hana kitu, kwani ukizingatia lissu yeye si mtaalam wa sheria za katiba , yeye ni mazingira. Waatalam wa sheria sheria za katiba ni mwakyembe na prof kabudi. Hapo jibu umepata , kajipange upya na mada yako sasa
 
Lissu ame-major kwenye Sheria ya mazingira..fine, lakini haimaanishi hana ufahamu wa sheria kwa ujumla, na hivyo katika sheria ya katiba na tafsiri yake. Na Kama Tundu Lissu asivyo mtaalam wa sheria ya katiba na akawa na upeo mkubwa wa kuchambua sheria hiyo na KUTAFSIRI, KUICHAMBUA na kuleta ufahamu mzuri katika masikio ya tusiojua sheria (kazi iliyowashinda akina Mwakyembe, Jaji Werema, na wengine walioisomea hasa) basi atakuwa ni mwanasheria mzuri sana. Tusiwe na wivu, kwa kweli he makes sense when he speaks about it. I like the guy. Ningefurahi wale wanasheria walioisomea haswa basi waoneshe difference kwa kuitafsiri kwa watu vizuri na kwa upana zaidi ya Lissu ili watanzania tujifunze zaidi, tuone maeneo yenye utata na yale bora ili kuboresha katiba ijayo.
BIG UP Lissu.
 
Kama hao wanasheria walio major kwenye katiba hawawezi kudeliver kama Tundu Lissu aliye major kwenye mazingira basi tuna kila sababu ya kumpongeza na kumuunga mkono kwa kujitolea kwake kufanya kazi ambayo hakupaswa kuifanya.
Hatahivyo kwa namna Tundu Lissu anavyoichambua na kuitafsiri katiba ni wazi kwamba uelewa wake katika nyanja hiyo ni mkubwa sana kuliko hata hao walio major huko kwenye katiba.
 
Huyu babu asitudanganye kwa kumsifia TL halafu aje atuletee katiba yenye mwelekeo wa magamba wakati anashuhudia vifo vya watanzania vinavyosababishwa na ccm.Ole wake tutamshukia kama mwewe
 
Lissu ame-major kwenye Sheria ya mazingira..fine, lakini haimaanishi hana ufahamu wa sheria kwa ujumla, na hivyo katika sheria ya katiba na tafsiri yake. Na Kama Tundu Lissu asivyo mtaalam wa sheria ya katiba na akawa na upeo mkubwa wa kuchambua sheria hiyo na KUTAFSIRI, KUICHAMBUA na kuleta ufahamu mzuri katika masikio ya tusiojua sheria (kazi iliyowashinda akina Mwakyembe, Jaji Werema, na wengine walioisomea hasa) basi atakuwa ni mwanasheria mzuri sana. Tusiwe na wivu, kwa kweli he makes sense when he speaks about it. I like the guy. Ningefurahi wale wanasheria walioisomea haswa basi waoneshe difference kwa kuitafsiri kwa watu vizuri na kwa upana zaidi ya Lissu ili watanzania tujifunze zaidi, tuone maeneo yenye utata na yale bora ili kuboresha katiba ijayo.
BIG UP Lissu.

Mbona werema ndiyo haswaa amesomea katiba lakini ndiyo zeroooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Heading inaonyesha kama kampuuza kumbe ni big up kashiba na somo sawa basi

Ha ha ha ha ha! Nina uhakika kwa heading ya huu uzi; Rejao, Ritz, Zomba, et al wako na kasi ya ajabu kuuwahi huu uzi ukiwa bado wa moto! Teh teh teh teh!
 
Nimeshangaa mawakili wengi waliokuwamo mle ndani walikua wanacheka tu kama vile yale mambo mazito hayawaingii...Lissu ni mtu ana ufahamu mkubwa sana wa sheria..hata majudge wengi sana wanamuogopa...na ukweli wa kesi nyingi kuchelewa sio kwasababu ya wingi wa kesi pia ukilaza kwenye tasnia ya sheria!!

Ngoyai anasema elimu kwanza...wengine tunasema kilimo kwanza. India waliwekeza kwenye elimu kwa zaidi ya miaka 40. Hivi sasa ndio wanavuna waliyopanda. Wazee wa shortcut tunataka kila kitu fasta fasta bila kuwekeza kwenye elimu ya kweli. Sio elimu ya siku hizi ya kumeza madesa tu na kujisifia tumesoma.
 
Kweli Lissu ni jembe.

Back
Top Bottom