Khekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie yeye Warioba ripoti yake iko wapi? Yeye aendelee kula pesa za walipa kodi tu, alipokuwa waziri mkuu alifanya nini kama sio uzembe wa kutisha. Kama yeye angekuwa mfanyakazi anayejali maisha ya walipa kodi leo hii Kikwete asingekuwa pale. Udhoofu wake ndio uliowaleta hawa wezi wa mchana kweupe.
Ripoti ingekuwa si dhaifu Kikwete angepigiwa kura ya impeachment bungeni.
Mzee warioba naona kachanganyikiwa sasa, udhaifu wa ripoti ya PAC ukwap? na wakati wao wametohoa data za CAG? Hebu acheni kukatisha watu tamaa.
MZee hajakosea..Mimi nilioona kabisa report ilikuwa ikitushambulia watu fulani na kuacha fulani.Hiwezekani bank chache zikatajwa na kutaka zishambulia bila kuweka angalizo kwanini nyingine hazikuwekwa.Yule dada waziri wa fedha siamini kwanini kaachwa.Ila ni rahisi sana establish pattern ktk report ya Zitto na ukizingatia tabia yake tangu mwanzo hakuna ubishi huyu jamaa upuuzi hajaacha. KITENDO CHA ZITTO KUSUPPORT "PHRASE YA FISADI CHENGE " Niliona ubaya za zitto ktk kujifanya anajua kuwa kasuku,Baadae akachomekea kwa nidhamu mbaya kabisa kuwa sasa kachoka.Hapa ZItto alijua kuwa alichosema chenge kingekubalika Blindly na UKAWA then ingefikia kwa WEREMA NA PINDA basi mafisadi wangekuwa washindi na Zitto km kibaraka wao angekuwa shujaa.This boy was another kamikaze stuntman in the HOUSE.
Mkuu nakuhakikishia kuwa swala hilo haliwezekani chini ya wabunge wa CCM,

Kwa vile alijikusanyia sana sifa,na mara nyingi alitofautiana na wenzio,ktk final report bungeni.Mara nyingi wenzie walihitaji kujaribu Tumia lugha nzuri ili wasiguse hisia zake.Mbona unamshambulia Sana Zitto wakati kamati ilikua na watu 24? Ile haikua ripoti za ya Zitto ni ya PAC
Hili nalo jipya......lkn kiukweli hata mimi nilishangaa Waziri wa fedha kutoguswa na hili sakata.
Waziri wa Fedha ambaye kwa uelewa wake finyu wa mambo ya kodi anataka kutoza kodi pesa za wizi, na saa zote ni kiguu na njia kupigia debe chama badala ya kufuatilia urudishwaji wa mabilioni ya Uswiss &529 million wakati hazina ikiwa haina kitu.
Mkuu lusungo tusishangae Kikwete atakapomaliza awamu yake ataacha deni la Taifa kati ya trillion 80 mpaka Trilioni 100 kulilipa hili deni itakuwa ni kazi ambayo haitawezekana na athari yake kwa Taifa itakuwa kubwa sana.
Naona wanahangaika Sana kukopa fedha za mishahara wamesababisha NMB isitishe huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwakopesha wao...
Nchi ipo kwenye hali mbaya Sana jamani tatizo watu wake wanawekeza ktk starehe kuliko kufikiri mambo ya nchi....
Inauma kuona watunga Sera wetu wakiwa vihiyo kiasi cha kushindwa hata kuelewa wanasimamia nini....
Much worse!!!!!