Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

Ndio madhara ya Akili ndogo. Unamu Attack MTU badala ya kujibu hoja. Mzee Amesema Bwana Kakurwa Asishambuliwe Bali Ajibiwe kwa Hoja.

Tatizo kuna Baadhi ya wana CCM Ambao ni Vilaza. Udhani kumshambulia MTU ndio Suluhisho badala ya Kujibu hoja.

Hoja ni kwa wizara ya kilimo na ina Waziri wake pia inawatendaji wake. Hawa ndio wangejibu hoja na sio hao waropokaji.

Nchi hii isipo wekea mkazo kwenye kilimo Tusijidanganye kupiga hatua kunategemea Kilimo.

Sasa kama wakulima wana nyonywa Alafu viongozi wakanyamaza ni sawa na kukalia Bom.
 
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.

Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.

Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.

Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.

Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.

Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.
Umeandika ujinga
Unaijua posho ya waziri mkuu staafu?
Anapata 80% ya waziri mkuu aliyepo madarakani!
Badala ya kujibu hoja mnakuja na viroja vya kuokoteza
 
Warioba hana hadhi ya ujaji, na hakuna hukumu aliyowahi kutoa, hawa ndio wale wakiitwa na wajita "YEGO JAJI" basi tayari anajiona jaji
Kumbe humu JF kuna baadhi ya Mataahira wenye kutostahili kuwemo humu.

chiembe
Narudia tena kukuhabarisha kuhusu jaji warioba.
Ili uelewe huyo sio takataka wa kusijudu kama nyinyi kina Chinembe!

Jaji Joseph Sinde Warioba (amezaliwa Bunda, Mkoa wa Mara, Septemba 3, 1940) ni mwanasiasa wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1990. Kwa kuongezea, aliwahi kutumika kama Makamu wa Rais wa nchi hii.
Pia aliwahi kuwa jaji katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, na mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania tangu mwaka 2012.

Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam, Tanzania mnamo 1966. Kuanzia 1966 hadi 1968, aliwahi kuwa wakili wa serikali jijini Dar es salaam, na kutoka 1968 hadi 1970, kama wakili wa Halmashauri ya Jiji.
Mnamo mwaka wa 1970, alihitimu kutoka Chuo cha Hague cha Sheria ya Kimataifa. Kuanzia 1976 hadi 1983, aliwahi kuwa Wakili Mkuu wa Tanzania. Kuanzia 1983 hadi kuchaguliwa kwake kama waziri mkuu, alihudumu kama waziri wa haki.

Kufuatia umiliki wake kama waziri mkuu, aliwahi kuwa jaji wa Hamburg, Korti ya kimataifa ya makao yake makuu ya Ujerumani ya Sheria ya Bahari kutoka 1996 hadi 1999. Zaidi ya hayo, mnamo 1996.
Rais Benjamin Mkapa alimteua kama mwenyekiti wa Tume ya Rais Dhidi ya Serikali Rushwa, inajulikana zaidi kama Tume ya Warioba.

Warioba alichaguliwa kuongoza Kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Madola katika uchaguzi wa Aprili 2007 wa Nigeria. Alitoa tathmini chanya ya uchaguzi huo, akiona ni ya maendeleo huku akisema pia kwamba kuna makosa.

Warioba aliteuliwa mnamo Novemba 2016 na Rais wa Tanzania John Magufuli kama Kansela wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine cha Morogoro, Tanzania.

chiembe huyo mzee sio size yenu Ma-Chawa nyie!

JamiiForums896815200.jpg
 
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.

Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.

Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.

Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.

Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.

Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.
Ukisikia kuishiwa akili ni kama alivyo huyu mleta mada.

Mleta mada inaonekana ni low mind anayedhani kuwa ana akili na uelewa.

Upeo wake mleta mada, bila shaka haujafikia kiwango cha kuleta mada au kuchangia, ni vema angejipa muda wa kujifunza kutoka kwa wenye upeo kabla ya kufikiria ana uelewa wa kiwango cha kuleta mada.

Uwezo, upeo, elimu, uelewa wa mleta mada,, kwa kipimo chochote kile, siamini kama unafikia japo 10% ya ule wa Jaji Warioba.
 
Huyu alikuwa mbunge wa Bunda miaka dahari, alishindwa kupeleka maji Wala barabara, akisimama Bunda anazomewa, naona alimuombea mwanae awe mkuu wa wilaya ya Moshi, ukweni kwake, yaani, nyumbani hana sauti, halafu akitoka nje ya geti anataka kukoromea dola
Crap from a poor mind.
 
Jaji warioba ni kama Prof Musa Assadi wao nyeusi ni nyeusi nyeupe ni nyeupe Mkweli hana upande anapiga kote. Alichosema ni kweli hoja ujibiwa kwa hoja ukiona mtu anakimbilia vitisho ujue hana Hoja
Jaji Warioba ni super intelligent, mtu aliyenyoka kwa kauli na fikra. Ni wajinga au punguani ndio wanaweza kumdhihaki jaji Warioba.
 
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.

Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.

Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.

Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.

Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.

Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.
Asalalee!!
 
Muulize zile Hela za Kampuni ya MWANANCHI GOLD walizoiba Benki Kuu, ndio utajua nyeupe na nyeusi zake
Mwizi huhukumiwa na mahakama. Kama hakuna kesi wala hukumu iliyoonesha Warioba ni mwizi, you the rich in idiocy, shut up you stinking mouth.
 
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.

Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.

Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.

Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.

Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.

Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.
Warioba amesema jibu kwa hoja.. Unamshambulia binafsi, badala ya kuweka hoja..... Uhuru wa kujieleza umeporwa, kuna mtu bado anafikiri kuna katiba mpya ??
 
Ana matatizo madogo madogo tu kwa sababu kukipenda zaidi chama chake ila bado ni mtu mwenye moral authority kiasi fulani katika nchi ambayo siasa zimekuwa za kujipendekeza sana.
Asiemuelewa Jaji Warioba, au anayejaribu kumchafua kwa njia yoyote, huyo ana matatizo ya akili.

Hiki kichwa kilichoiandaa ile Rasimu ya Katiba mkiache kabisa, nitaendelea kukiheshimu maisha yangu yote.
 
Wapo wenye uwezo wa kushindana kwa hoja na Warioba wakamshinda ila sio ndani ya chama chake.
Hamna uwezo wa kushindana kwa hoja na Jaji Warioba, narudia tena; hamna uwezo huo, nyie tegemeeni mipasho yenu ya kimwambao tu kujibu hoja zake, kwasababu hiyo ndio silaha yenu kuu awamu hii.
 
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.

Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.

Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.

Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.

Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.

Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.
Kichwa Maji weee, Acha kutukana wazee utalaaniwaa. Kamuulize makonda.
 
Acheni porojo. Jibuni hoja. Nchi yetu haiendelei kwa sababu ya kulindana.

Mtu akitoa hoja zake za Msingi, wajinga wengi hawajibu hoja. Kinyume chake wanaanza kumshambulia tu.

Tusiuendekeze ujinga wa kumshambulia mtu aliyetoa maoni yake. Badala yake tujikite kujibu hoja kwa hoja.
Bahati mbaya, punguani kama huyu mleta mada, sidhani kama ataambulia chochote kwenye huu mchango wako mzuri. Lakini isikatishe tamaa hata hawa low minds ni sehemu ya jamii yetu, tuwavumilie..
 
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.

Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.

Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.

Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.

Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.

Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.
"BANGO LIKICHANWA BASI UJUMBE UMEFIKA"

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom