Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,069
- 2,303
Wana CCM wanapinga utaratibu alioutumia Bashiru kutoa hoja zake. Kila taasisi ina miiko na taratibu zake. CCM ina miiko na taratibu zake. Mwanachama anaruhusiwa kutoa hoja kuhusu jambo lolote, lakini kwenye vikao vya cha chake. Kama hoja yake itakuwa na mashiko itaendelea kupanda kwenye ngazi za vikao mpaka ifike taifa inakuwa hoja ya kitaifa. Bashiru analijua hilo. Yeye mbunge angewasilisha hoja yake kwenye vikao vya chamq.Jaji warioba ni kama Prof Musa Assadi wao nyeusi ni nyeusi nyeupe ni nyeupe Mkweli hana upande anapiga kote. Alichosema ni kweli hoja ujibiwa kwa hoja ukiona mtu anakimbilia vitisho ujue hana Hoja