William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Rasimu hado haijawa hicho kinachoitwa Muswada. Na ile ilyotolewa haiendi Bungeni, itakayoenda ni ile inayoboreshwa sasa kwa kutumia maoni ya Mabaraza.
- Chama cha Mapinduzi tunataka Serikali mbili, Warioba na Chadema mnataka Serikali tatu nani atakayeshinda? Chadema na WArioba ni 47 tu, CCM 280 unaona maana ya kuropoka!
Le Mutuz
da mtani. Mtani yaani umechanganyikiwa. Kuna rasimu ya katiba na mswada. Kipi rais anasubiri kusaini- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
- Sheria ipo wazi kwamba majority bungeni ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria ya jamhuri, CCM ndio tuna majority bungeni kwa hiyo sio Warioba, wala Chadema au CUF wenye uamuzi wa mwisho mnaweza kuitukana as much as you can lakini Sheria ni msumeno Warioba hana mamlaka kisheria kutuamulia katiba, ni vyema akajizulu tume sasa ili apate nafasi ya kutoa maoni yake kama raia.
Le Mutuz
da mtani. Mtani yaani umechanganyikiwa. Kuna rasimu ya katiba na mswada. Kipi rais anasubiri kusaini
Naona umekazana na hoja zako mfu kumtetea Bulebo pumba zake kwa vile hakuachi kwenye safari zake kama Bodyguard wake. Acha kujidhalilisha zungumza maneno yenye kubebwa na fikra hai.- Hapana si mmeoana na CUF chama mlichosema wenyewe kuwa ni cha Waliberali! ha! ha! ha! ninasema hivi Wariona na Chadema hamna mamlaka kisheria kuamua katiba mpya ni CCM tu ndio tuna haki kisheria, unasemaje hapo?
Le Mutuz
Pamoja na ukweli huo wamwisho kuamua juu ya katiba ni wananchi ktk kura ya maoni. Pia hao wabunge km kura kwao itakuwa siri usishangae matarajio yako yakawa kinyume. Utanzania kwanza na itikadi za vyama baadae. Mungu ibariki Tanzania.
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Naona umekazana na hoja zako mfu kumtetea Bulebo pumba zake kwa vile hakuachi kwenye safari zake kama Bodyguard wake. Acha kujidhalilisha zungumza maneno yenye kubebwa na fikra hai.
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Kaaa kimya badala ya kuandika vitu visivyo na kichwa wala miguu.- Rasimu haijadiliki tena ndio maana Chadema na CUF wanasema Rais asisaini ili iendelee kujadiliwa naona wewe ndio unahitaji kusoma tena katiba.
Le Mutuz
Kumbebea bag STD seven leaver ...kuna madhara sana !!
Mmeshaambiwa msijadili wajumbe JADILINI content.....Kati ya pesa walizopewa tume ni pesa za MASS CIVIL EDUCATION ...sasa mnawalaumu vipi ..kwa kutoa elimu hii.....na hawaaambii watu waongee nini.....,sana sana walichapisha katiba za zamani ili watu wazijuwe kwanza kabla ya kujadili katiba mpya..etc
Yaani kuona mtu mwenye uwezo mdogo na akili ya kutokuyajua mambo kama huyu PIMBI, Eti anasisitiza alichosema BULEMBO kumbe anathibitisha ujinga wao. Ni rasimu gani ya katiba ipo kwa rais inasubiri kusainiwa? Yaani hajui hata tofauti ya Mswada wa sharia wa madiliko ya sharia ya katiba na Rasimu ya katiba. Nonesense and stupid politician
kwa hiyo bulembo anamamlaka ya kuwasemea wananchi?
hivi elimu yako ya darasa gani?we kiongozi wa taifa. Tundurubeta kabisa.- Mimi ni Kiongozi wa Taifa nimechaguliwa na Wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa na pia ni Kiongozi wa CCM kata ya Kivukoni, so pole sana mkuu naona huwa husomi sana media za bongo ungejua kwamba mimi sio kama wewe, ha1 ha!