- Kazi ya Warioba ilikuwa ni kukusanya maoni tu ya wananchi na kuyaandika chini sio kutuamulia maoni yake, kama kuwa na haya mawazo ni kujiabisha so be it! ha! ha1 ha1
Le Mutuz
- ha! ha! ha! ha! ha! uchawi tena? ha1 ha!
Le Mutuz
- Kisheria Warioba hana haki zaidi yangu na wewe ni mwananchi tu wa kawaida ndio maana hana mamlaka ya kuamua Katiba mpya ni CCM yenye Wabunge wengi bungeni yenye hayo mamlaka,
Le Mutuz
Haya ya ujinga yanatoka wapi tena hili ndiyo tatizo la kuwa na wadau ambao hawajakomaa.Ni bora kukaa kimya ukaficha ujinga wako.....
Ama kweli wewe ndio kichwa maji kabisa @ SWEETLADY hakukosea kukushangaa.Hivi aliyekuambia Mswada wa Katiba kuwa Katiba unaamuliwa kwa wingi wa Chama flani bungeni ni nani?Pale hatupitishi Katiba ya Chama flani cha Siasa bali tunapitisha Katiba ya Nchi.Katiba ya Nchi haiangalii nani ana watu wengi Bungeni basi na wakitakacho kipite kwa kutumia faida ya wingi wao.Katiba ya Nchi inapaswa kuwa shirikishi kwa ku-include maoni ya makundi yote katika jamii na itakayokidhi maslahi ya makundi yote hayo na kwa Taifa kwa ujumla na mwisho kwa kuwa Katiba ni ya Nchi ni vyema busara na tafakuri ya kina ikapewa uzito wake katika kufanya maamuzi badala ya kuingiza ushabiki vyama katika jambo nyeti kama hili.Kosa litakalofanyika leo litaigharimu Taifa kwa miaka mingi ijayo.
- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,
- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.
Le Mutuz
Mchango wa warioba nauunga mkono kwa 100%.
Anafahamu wazi nchi inakoelekea na hao walio wengi wasivyojali nchi yao.
Kiuhalisia Warioba si kwamba anawasapoti CDM, ila yupo sawasawa na mawazo ya cdm. Anaonekana kama Nyerere aliye hai.
Hapo kwenye Red: vp swala la katiba mpya lilikuwa kwenye ilani ya CCM?? Jibu ni hapana (rejea kauli za awali za akina Kikawe na Kombani) Lakini nini kimetokea?
Warioba hatoshi.
ninaheshimu na kuikubali kazi nzuri Jaji Warioba anayofanya kwenye mchakato wakatiba....... nilisema kwa yule alietoa tetesi za Warioba kujiuzulu kwamba mimi ni, na, nitaendelea kuwa Tomaso hadi siku atapofanya kwel. Anapojitetea ccm haijamtaka ajiuzulu kwani huyo Bulembo ni nan? Au alitaka nan kutoka ccm atamke ndio aelewe? Kukwepa hizi dharau na kadhia anazopata mi naona heri achukue uamuz mgumu mapema kabla hawajamuaibisha.
Upuuzi unaupenda kuliko ukweli,- ha! ha! ha! ha! ha! uchawi tena? ha1 ha!
Le Mutuz
Elimu ni nini Malecela? kama nyie ndo mnaoishauri ccm kuhusu Elimu basi ndo maana mfumo wetu wa elimu unayumba! halafu yule Malecela tuliyesoma naye alikuwa kamanda?- Mbona Mwenyekiti wako Chadema ana elimu ndogo sana, toa boriti kwako kwanza mkuu!!, halafu PhD ya Dr. Slaa ni ya wapi eti? ha1 ha! h!
Le Mutuz
Nyerere hai nikimaanisha mtetezi wa haki za binadamu.
Tuache ushabiki pasipo jenga hoja timilifu.
Elimu ni nini Malecela? kama nyie ndo mnaoishauri ccm kuhusu Elimu basi ndo maana mfumo wetu wa elimu unayumba! halafu yule Malecela tuliyesoma naye alikuwa kamanda?
Who is Bulembo?.
Upuuzi unaupenda kuliko ukweli,
Mada kama hizi kwako ni sumu,
Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015 - Page 7