Tuwapandishe kizimbani tushuhudie nani mkali🤔.Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!
Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia
"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe. Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"
Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??