Jaji wa michongo VS Shahidi wa hisia, Nani mkali?

Pole sana kiongozi.....Ni kheri kama utaweza ukaisamehe tu iyo hela na kufanya mambo mengine kuliko kupoteza muda wako,Mungu atajakulipa haki ya mtu kwa mungu haipotei kabisa
Mkuu, hiyo hela nishaisahau kabisaa, nilitumia zaidi ya mwaka mmoja naenda ukonga, wakati huo natokea kibaha , acha tu mkuu!

Hayo mambo ya kesi sitak hata kuyasikia
 
Naomba nikushauri hivi Hutakiwi kukata tamaa ili kuisaidia jamii iliyoko nyuma yako, maana utawaachia watoto na wajukuu zako nchi yenye asili ya kuendekeza dhuluma. Unapofuatilia jambo kama hilo mpaka mwisho unafanya kwa ajili ya kuacha funzo. Na jina lake linabakia kwenye kumbukumbu za kimahakama kuwa anahiyo tabia ya kirushi. Akija kurudia tena watamuona kwenye hicho kioo. Kama fedha yako ilikuwa ya halali ni riziki yako usikubali kuipoteza kirahisi kwa kukata tamaa, fuatilia mpaka mwisho. Hivyo ndivyo jamii yenye maadili inavyojengwa kwa uvumilivu.
 
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe.... Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
Tuwakatae tu basi! waendelee tu wenyewe nasi tuwe mitaani!
 
Tangu Jaji Mkuu Ramadhani agombee urais na kudhibitisha ya kwamba alikuwa mwanachama hai wa CCM na alikuwa analipia kadi, tangu siku hiyo nikaidharau mahakama za Tanzania. Ndipo nikapata jibu kwanini alipiga Chini suala la mgombea binafsi. Majaji wote wako pale kuserve interest za chama , huyu Jaji Tiganga no mfano tu.
 
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe. Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
Wewe ungalikuwa ndiyo huyo jaji ungalimwitaje huyo shahidi anayekuita jaji wa michongo?
 
Naomba nikushauri hivi Hutakiwi kukata tamaa ili kuisaidia jamii iliyoko nyuma yako, maana utawaachia watoto na wajukuu zako nchi yenye asili ya kuendekeza dhuluma. Unapofuatilia jambo kama hilo mpaka mwisho unafanya kwa ajili ya kuacha funzo. Na jina lake linabakia kwenye kumbukumbu za kimahakama kuwa anahiyo tabia ya kirushi. Akija kurudia tena watamuona kwenye hicho kioo. Kama fedha yako ilikuwa ya halali ni riziki yako usikubali kuipoteza kirahisi kwa kukata tamaa, fuatilia mpaka mwisho. Hivyo ndivyo jamii yenye maadili inavyojengwa kwa uvumilivu.
Kupoteza muda na fedha ndg yangu
 
Wewe ungalikuwa ndiyo huyo jaji ungalimwitaje huyo shahidi anayekuita jaji wa michongo?
Ningemwita msaka haki, maana Kama aliamua mwenyew kuingilia kesi na kujitoa Kama shahidi, ni dhahir aliona Kuna mahala hapako sahihi na hivyo akaamua kufichua lililojificha ingawa jaji wa michongo amemdhihirishia kuwa yupo pale kimchongo!!
 
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe. Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
Shahidi wa Hisia ni mtu mwema Zaidi. Anaonesha hisia zake kwa kueleza ukweli Mahakamani, ninvyojua hisia sio dhambi na wala sio kosa la jinai. Hisia hubeba ukweli na huonesha msimamo na mtazamo wa mtu. Hata siku ile alivyomwambia Wakili wa Serikali kasahau Ktabu chake ninaamni alikuwa akimwangalia kwa jichola ndani ya moyo wake kwa kumhurumia jinsi Wakili huyo alivyokuwa anajaribu kutetea uovu!
 
Kupoteza muda na fedha ndg yangu
Huo ndiyo uvumilivu wa mtu anayefahamu wajibu wa kuwa mwananchi makini kwa Taifa lake. Walk the Talk! Signature yako iansema "Haki huinua Taifa" Simamia maneno hayo pande zote. Weka mwanasheria kijana afuatilie mpaka mwisho. Na haki ikishapatikana gharama zote zitajumuishwa.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom