Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,023
- 144,381
Habari hii imfikie Jiwe.
Jaji Samatta ni miongoni mwa watumishi wa umma waadilifu kabisa kuwahi kutokea hapa nchini.View attachment 1047115
Chanzo:Ukurasa wa twitter wa Halima Mdee
Mpaka hapa ni wazi anaweza kuwekwa ndani wakati mawakili wanabishana mahakamani juu ya vifungu vya katiba iwapo atapatikana na tuhuma za ufisadi kwani ni wazi kutotokea mvutano ila wakati huo anaweza kuwa teyati yuko ndani nae anasota na akishindwa, ndio atakaa ndani jumla maana kuna makosa tuaambiwa hayana dhamana.Na wale vikaragosi vyake na vijibwa koko anavyopenda kuvitumia akiwemo msiba & co.
Yuko sahihi Kwenye kuzungumza lakin hayatekelezeki Kwenye Uwanja wa kisheria
Uzi unaotenganisha hayo mambo Mawili ni mwembamba sana
Huo Ufisadi ili aweze kufanya unakuwa Kwenye Wajibu wake wa Urais
Mf. Rais anaweza kusema Tufanye Mradi Fulani let say Ujenzi wa Mradi wa Ununuzi wa Jengo Yeye akaishia hapo
Lakin akatoa Maelekezo Kama Rais nini Cha kufanya
Rejea Sakata la Ununuzi wa Jengo la Ubalozi wa Tanzania Nchini Italy wakati wa Ubalozi wa Prof Mahalu
Tukumbuke Ufisadi huwa unafanyika kwa umakini Sana Hata asie Rais kumtia hatiani sio jambo dogo
Rais fisadi tusidhan anapiga Simu kwa Governor Na kuelekeza awekewe Fedha Kwenye Account Fulani, ingekuwa hivyo ingekuwa Rahisi Sana kumtia hatiani
Hapana huyu kichaa hana mamlaka ya kutumia hata senti moja toka hazina kama nchini hakuna emergency ya kumlazimisha kuchota bila idhini ya Bunge. Hilo ni kosa ambalo linaweza kabisa kumpandisha kizimbani.
Umeandika vyema Sana
'...Kama HaKuna emergency ...'
Nani wa kuamua hiyo Kuwa Ni emergency or not
Sheria huwa inatoa mianya Mingi Sana
Hivi hichi kizazi cha kina Samatta tutakipata tena Tanzania ?
Pia Rt CJ Samatta kapendekeza mahakama ya mafisadi ibadilishwe jina kwani kwa jina hilo unakuwa tayari ushahukumu mtu ni fisadi ilhali bado ni mtuhumiwa tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mianya yoyote inapokuja kwenye Taifa kuwepo kwenye emergency. Ni lazima Umma utangaziwe kwa kinaga ubaga kuhusu hiyo hali husika na siyo tu kuamua kiholela holela na nchi yetu haijawahi kuwa kwenye emergency kwa miaka mingi.
Ndo tatizo la awamu hii, wana mawazo ya kuhukumu kabla ya kuisubiri mahakama iamue, visasi visasi tuHivi hichi kizazi cha kina Samatta tutakipata tena Tanzania ?
Pia Rt CJ Samatta kapendekeza mahakama ya mafisadi ibadilishwe jina kwani kwa jina hilo unakuwa tayari ushahukumu mtu ni fisadi ilhali bado ni mtuhumiwa tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wangu Samatha mimi nakupenda sana na umeongea ukweli mtupu. Lakini nadhani huu ujumbe wako utakufanya ujenge uadui na watawala wa nchi hii.