"Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

Sawa. Mwache aendelee kumtumikia kafri. Ipo siku atalipa.
 
nasimamia haki, sipendi uonevu, siku ya kiama tutaulizwa damu za watu.
Kufunga mwanaume gerezani miaka 20 unaacha mke ndio kaolewa tu , anamegwa na wengine nyumbani inauma,watu kupewa kesi za kubumba na maelekezo toka juu hapana.
 
you are totaly wrong, i stand with justice and not hate, an not a politician .
 
Babu yangu alikuwa na usemi "pamoja na kunitolea mimacho yako kama bulb bado umeshindwa kuniona".... Ulinichukua muda mrefu sana Kumuelewa...
Babu yako alikuwa ni mtu mwenye busara sana. Sijui kama nawe umerithi angalao kiasi kidogo cha 'genes' zake kuhusu busara zake!
 
Unabwabwaja na vitu usivyovijuwa, ili mradi tu uonyeshe ujuaji. "...intellectual suicide" unayoiandikia hapo inahusu nini?

Wewe unajiita 'unprejudiced', halafu hapa unalaani vikundi ambavyo vinatofautiana na vikundi unavyovishabikia wewe!

Hebu tuonyeshe bandiko lolote ulilowahi kuweka humu JF ambalo unajivunia kwamba ulionyesha "objectivity' juu yake.
 
Jaji alishapewa rushwa ya cheo , lazima awasikilize mabwana zake waliompa icho cheo
Siku ya kiama watajibu haya, lakini pia , watapata shida sana kwenye familoa zao mpaka kizazi cha 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…