tekeleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    SoC02 Mawazo ya kibiashara, tambua na tekeleza

    Wazo la kibiashara ni nini? Mawazo ya kibiashara ni mawazo aliyo nayo mfanyabiashara au mtu yoyote kunilngana na mtazamo wake juu ya biashara na biashara anayotaka kuifanya. Mawazo ya kibiashara ni mawazo alio nayo mtu kuhusu ni aina gani ya biashara anataka kuifanya wapi na ni kwa nini. Wazo...
  2. Sildenafil Citrate

    Gwajima, tekeleza ahadi yako kwa wakazi wa Basihaya

    Ukiamua kutaja maeneo ya jiji la Dar es salaam yanayo athirika na mvua za kila mwaka huwezi kusahau kutaja eneo la Basihaya linalopatikana jimbo la Kawe. Basihaya ni miongoni mwa maeneo yanayojaa maji kila mwaka pindi msimu wa mvua unapofika. Barabara (Bagamoyo road) hufunikwa kabisa, maji na...
  3. Jaji Mfawidhi

    "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

    Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe? Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum. Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
  4. Countrywide

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa. Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana Hili ni Jambo la...
  5. Complex

    Kwanini TANESCO hawatekelezi STIEGLER'S Gorge project?

    Hakuna sehemu yoyote duniani kwenye umeme wa bei rahisi kama umeme wa Maji (Hydroelectrity). Nchini mwetu Tanzania tumepata bahati ya kuwa na vyanzo vingi vya maji na maporomoko mengi ambayo tungeweza kuyatumia kuzalisha umeme. Baadhi ya maporomoko hayo tumwyatumia, mengine bado hatujayatumia...
Back
Top Bottom