Nani huyo jaji Mutungi au?atatue kwanza issue ya sukari na ongezeko la tozo kwenye mitandao ya simu hasa ktk huduma zakifedha kwani hili ongezeko humuathiri mwananchi moja kwa moja na hili halihitaji mpaka wapinzani wakamshaur raisi
Kwani wote ile hotuba si tumeisikia , sasa yy mutungi anatuambia ili iweje, hotuba ilikuwa kwa Kiswahili imeelewekaAmeeleza upotoshwaji unaofanywa ili kutafuta kick ya kisiasa
Jaji wa ajabu haoni kinachoendelea nchini, hawa watu watachomwa mto siku ya hukumuhahaha. ..aisee..huyu ndiye msajili wa vyama vya siasa ..tehtehteh
Ndio huu upotoshaji alioukataa mkuu...tupime uelewa wa viongozi wa UkawaTumemsikia sote bila chenga Magu akieleza bayana kuwa wanasiasa wasubiri 2020 ndiyo warejee kwenye harakati za siasa.
Sasa yeye Jaji Mutungi anajaribu kuiedit hotuba ya Mkuu wa nchi kwa kuwa anajua kwa nafasi yake ya usajili wa vyama na kusimamia shughuli za vyama vya siasa, kwa Rais kutangaza kusitisha shughuli zote za siasa hadi baada ya miaka 5, ni kama vile Presidaa kamtangazia redundancy nafasi yake.....