Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani.

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu, Hussein Mtembwa amesema kliniki hiyo inasaidia kupunguza mrundikano wa mashauri yanayotokana na migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la kesi katika mahakama za mkoa huo.
 
Back
Top Bottom