Mie ningependa kuuliza. Je wabunge wa chadema baadhi yao wakipewa uwaziri watagoma ama itakua je? Naomba mtazamo wenu.
Jaji Mkuu Agustine Ramadhani amesema kisheria hakuna kosa lililofanywa na wabunge wa Chadema kutoka nje wakati wa hotuba ya Rais, akaongeza hata kanuni za bunge ziko kimya kuhusu kitendo hicho ndiyo maana hata Spika hakusema lolote "labda tunaweza kulieleza ni suala la kimaadili tu lakini si kisheria"
Source TBC 1.
Nafikiri hili ni jibu kwa Chaligati na wote waliokuwa wanadhani wabunge wa Chadema wamevunja sheria.
Kwenye bold inaonyesha kweli katiba imepitwa na wakati, hivi kwa nini Kikwete asiweke historia kwamba Tanzania ilibadili katiba peacefully au anasubiri tutwangane kwanza.Warioba naye ameona kuwa still kuna tatizo la katiba by the way huwa yeye hayupo na ,mambo yanayofanywa na sisiem ila ukweli ndio huo amesema katiba imetungwa miaka mingi na ni haki yao kudai katiba ibadilike.
Mfano sera ya Michezo na habari inasema michezo yote itakua ikifanyika kwenye vijiji vya ujamaa hii nisera ya miaka hiyooooooo,
wapi leo kuna vijiji vya ujamaa leo ukiongea vijiji vya ujamaa tunajua viraka vya suruali
Mzee GOMEZI
Huyu jamaa si alikuwa mjeshi tu, tumsamehe kwa maana hajui asemalo, awaachie wenye profession zaoUjumbe huu namtumia chiligati , ambaye ni hazijui sheria za bunge na hata katiba ya nchi
Mie ningependa kuuliza. Je wabunge wa chadema baadhi yao wakipewa uwaziri watagoma ama itakua je? Naomba mtazamo wenu.
Jaji Mkuu Agustine Ramadhani amesema kisheria hakuna kosa lililofanywa na wabunge wa Chadema kutoka nje wakati wa hotuba ya Rais, akaongeza hata kanuni za bunge ziko kimya kuhusu kitendo hicho ndiyo maana hata Spika hakusema lolote "labda tunaweza kulieleza ni suala la kimaadili tu lakini si kisheria"
Source TBC 1.
Nafikiri hili ni jibu kwa Chaligati na wote waliokuwa wanadhani wabunge wa Chadema wamevunja sheria.
Huku ni kujaribu kuwafumba macho watanzania wasioijua katiba, ccm wamesema yao lakini huyu waliyemweka kuhakikisha sheria inafuatwa ndivyo kasema hali ya mambo ilivyo kulingana na taaluma yake, kama huwezi kutoa kitu chenye mantiki ni bora ukatunza charge yako uitumie next time....Jaji zembe hili. Si kazi yako kutoa viji comment vya kuhukumu ni nini sawa na nini si sawa kisheria ukiwa nje ya mahakama.