TANZIA Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande Afiwa na Mwanawe

TANZIA Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande Afiwa na Mwanawe

Mwenyezi MUNGU ametoa mwenyezi MUNGU ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Nafikiri huko nako huwenda wanasiasa wakapigana vikumbo
 
Huyu amekufa tangu juzi na mazishi yalikuwa Jana Chumbageni Tanga.
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Said alikua kama baba take in mcheshi, mwema asiyekua name makuu. Nimewahi kufanya nae kazi na no MTU kwa umri wake alikua anajituma name very professional as a banker. You have gone too soon. Rip Said
 
Rest In Peace Said. Ni kweli baba yake ni mtu humble.
 
Tunamuombea na marehem, Allah amghufirie na amuweke mahala pema peponi.

Dada; mtu anatubu mwenyewe kabla ya mauti kumkuta. Maghufira ya M/Mungu anayaomba marehemu kabla hajafa. Akikata roho kinachofuata ni kutoa hesabu ya jinsi alivyoishi duniani.
Baada ya kifo ni hukumu!

Dua zetu tuliosalia duniani kwa ajili ya marehemu hazina msaada wowote kwake!

Tubuni kwa maana hamjui siku wala saa ijapo mauti!

Amefariki akiwa bado kijana mchanga (24 years)! Poleni sana wafiwa!
 
Pole sana Mohamed na Familia yako. Huyu bwana ni mstaarabu sana na anastahili heshima aliyopewa.
 
Kipindupindu kinapenda sana matunda, hasa Haya yanayouzwa barabarani
 
Hakika sisi ni wa Allah, na kwake tutarejea, wafiwa wawe na moyo wa kustahamili, katika wakati huu mgumu, Allah amuweke mahala pema peponi.
 
Sote ni ndugu, kila limfikae lenye kuhuzunisha yatupasa kumfariji, poleni wafiwa mungu awaongeze nguvu na imani.
 
Inna lillahi, wainna ilaihi raajiun...
 
aahh kaondoka bado kijana sana asee...alafu nimepata habari sababu ya kifo chake ni maleria na sickle cell.sasa nimeshangaa mana niliwah kusikia wenye sickle cell huwa hawapat maleria na hata marehemu hakuwah kupata maleria ila once alipopata ndo ikamchukua...kuna mtaalamu yoyote wa kufafanua hili?? samahan najua nipo nje ya mada ila naomba kuelimishwa
 
Back
Top Bottom