Dada; mtu anatubu mwenyewe kabla ya mauti kumkuta. Maghufira ya M/Mungu anayaomba marehemu kabla hajafa. Akikata roho kinachofuata ni kutoa hesabu ya jinsi alivyoishi duniani.
Baada ya kifo ni hukumu!
Dua zetu tuliosalia duniani kwa ajili ya marehemu hazina msaada wowote kwake!
Tubuni kwa maana hamjui siku wala saa ijapo mauti!
Amefariki akiwa bado kijana mchanga (24 years)! Poleni sana wafiwa!
Jamani ubinadamu lazima tuuweke mbele , Leo yeye , kesho sisi, shukrani kubwa kwa Mfiwa ni kumpa Mkono na pole, siyo Maneno ya kejeliUzuri wa Chande ni mtu very simple, na madaraka yote aliyonayo lakini ni mtu wa kawaida sana.
Wazazi wenzake kufiwa ilikuwa faraja kwake.Hapo sasa tumeelewa kwanini vifo vya wazazi wenzake havijamuuma wala hajali na ndio maana kaja na report uchwara