Kama wamepelekewa written submissions hakukuwa na haja ya kupoteza hela za walipa kodi kuwasafirisha na kuwatunza majaji ugenini Arusha. Wangetoa ruling yao from submitted briefs huko huko walikotokea.
unatafuta cheap popularity hamu JF au siyo? aidha una nufaika na mfumo wa utawala wa magamba, nakupa poleArusha ilikuwa shwari baada ya huyu mwehu kupigwa chini,sala zetu zote ni kuhakikisha hoja zake zote zinatupiliwa mbali ili amani ya bwana iendelee kudumu.. Ameeeeeeeeen!!!
Jurisdiction ipi? Ni suala la jurisdiction kivipi? Hebu itaje hiyo jurisdiction halafu useme mahakama yake iko wapi.Mkuu hilo ni suala la Jurisdiction.. Soma CPA (CAP 184-185) na Magistarates Courts Act (CAP 11 R.E. 2002)
Wewe ni zero kabisa sasa huo genius uutoe wapi wakati akili yako imejaa matope?
sana sana arusha, watu wa arusha ni wa kuhurumia sana, shughuli za kiuchumi arusha zimepungua mno kiasi cha kwamba mji ukifika saa 10 jioni ni mweupeee hauna watu tofauti na zamani. Watu wa arusha wameathirika sana sana na vurugu za lema za kisiasa.
nimepatwa na wasi wasi.........
naungana na pointi zako ambazo kwangu mimi naziita dua,ninamaana nimeifunga imani yangu katika maneno na hekima yako.Zombe hakuuwa Fact, pelekeni aliyeuwa amuhukumu.
Lema hajatukana mtu fact ndio maana Batilda Burhan hakushtaki wala hakutowa ushahidi.
Lema anarudishiwa Ubunge wake hili halina mjadala, na chombezo la Tundu Lisu kuhusu Majaji fake litachangia zaidi kutenda haki. hawa ni Learned Brothers, huwa hawapendi wastaafu huku wakiwa hawana credibility yoyote.
umeoverlook mkuu..mbona mbunge wa sumbawanga mjin alipigwa chini wakat ni ccm....na kafum je....Jaji kachaguliwa na Rais na huyo Rais katokea Chama Cha Majangiri a.k.a CCM, na huyo aliekata rufaa ni mpinzani...Je! haki itapatikanwa hapo?......mna Bosi wa jaji ni Kikwete sasa atatetea Chama Cha Majangiri au atafanya vile haki inavyotakiwa??? ukweli hapa Tanzania hakuna haki kwa mpinzani wala masikini.....CCM OYeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kiukweli anakosea kuwahukumu,lakini kwa jinsi tz ilivyo hapaswi pia kuweka imani yake moja kwa moja.Acha kukata tamaa na kukatisha tamaa watu wengine, mahakama hiyo hiyo na majaji haohao ndiyo waliotengua ushindi wa CCM majimbo ya Igunga na Sumbawanga kufuatia kesi zilizofunguliwa na wana CDM wenzio. Sasa hapo unatumia logic gani kuwahukumu majai wa rufaa kuwa hawatatenda haki kwenye kesi hii?
sana sana arusha, watu wa arusha ni wa kuhurumia sana, shughuli za kiuchumi arusha zimepungua mno kiasi cha kwamba mji ukifika saa 10 jioni ni mweupeee hauna watu tofauti na zamani. Watu wa arusha wameathirika sana sana na vurugu za lema za kisiasa.
kaka wenye akili fupi hawalioni shimo ambalo tunaenda kuangukia watanzania,kwa mtu anayetumia fikra za ndani sana ataiona jinsi tanzania inavyozama gizani.Mkuu Ngonga;
Umesema vyema,Kwanza kuhusu hotuba ya Mhe.Lissu pamoja na tambo za Lukuvi na Matusi ya Werema bado imekuwa msaada mkubwa sana kwenye hatima ya haki za watu.
Pili kuhusu Katiba mpya na Hatima ya kuteuliwa kwa Majaji bado naendelea kuwa muumini wa wazo lako (Kimsingi wazo la wanaharakati wengi) ila kuna tatizo la msingi ambalo ni KUTOKUPATIKANA KWA KATIBA MPYA HAPO 2015.
Kwa hii Tabia ya Serikali kuyafumbia macho matatizo makubwa kama Suala la Muungano basi bado kupatikana kwa katiba mpya (Kupitishwa kwa standard iliyowekwa na sheria) itakuwa ndoto. Tumuombe Mungu sana huku tuendako ni kubaya kuliko tunavyoweza kufikiri.
nimepatwa na wasi wasi.........
Nina imani sana na Jaji Massati ni jaji asiyeyumbishwa ( mgombea binafsi) pia Chande, hawa ni majembe 90%, wana wa Arusha anzeni kushangilia ushindi, ila M4C itayumba...dah!
Mhe.Jaji Kimario alikuwa mmoja wa majaji watatu walioamua rufaa yangu pia. Hili ni jopo lisiloyumbishwa. Huwa linapenda kufanya kazi kwa standard ya kuweka Case study nzuri kwa ajili ya mifano siku zijazo.. Nawaamini.