Jaji huyu achunguzwe haraka

Dah....tembo 30 na simba 26 faini 10m....ngoja nisafishe bunduki yangu kesho niingie porini [emoji4]
 
Mhhh hapa kuna kaukweli ila kamechanganyana na chumvi nyingi Milion 37 au 41 ukizidisha mara 10 unapata bilioni kadhaa ? Sio milioni kazaa ?
 
Huyo aliesuggest mwambie anataka atoe adhabu gan ambayo ipo pale ... Jaman tuache mizuka
We usie na mizuka unaona halali mtu kakamatwa na nyara za serikali mara 30 ya hela aliyotozwa na huyo jaji...
 
We usie na mizuka unaona halali mtu kakamatwa na nyara za serikali mara 30 ya hela aliyotozwa na huyo jaji...
Aise ni halali kabisa jaji ametenda haki kwa sheria iliopo.Vp wewe sheria yako inasema apewe adhabu gan mkereketwa..
 
Mwandishi wa habari kanjanja,nenda darasani ukasome,
Hata sheria zenyewe huzijui,Ile Habari yako ya Dr Mpoki umefikia wap?
 
Sheria makengeza..! Kiuhalisia kilichotoka ni zaidi ya 30M...hizi ni za mlango wa nyuma watu wameselfika
 
Mchina kamzidi milioni tatu yule aliyemtusi presidaa... Duh Mahakimu wa Serikali hii Oyeeeeeeee!
 
Mkuu ni USD$ 10M Au macho yangu yana zeeka
 
Jaji anaongozwa na Sheria na kama huridhiki Jamhuri inakata rufaa sio kuleta Umbea mitandaoni

Umemjibu vizuri sana,,,,wao wanadhani jaji au hakimu hukumu anatoa kichwani mwake
 
Aise ni halali kabisa jaji ametenda haki kwa sheria iliopo.Vp wewe sheria yako inasema apewe adhabu gan mkereketwa..

Weye ZIRO kweli kweli.Sheria Mtuhumiwa angelipa faini ya 50M Na miaka kumi jela ili iwe fundisho Kwa majangili wengine
 
Mwandishi wa habari kanjanja,nenda darasani ukasome,
Hata sheria zenyewe huzijui,Ile Habari yako ya Dr Mpoki umefikia wap?

Mpoki karejesha gari la milioni 200 ambalo alijiuzia kwa bei isiyofikia milioni 10!
 
Weye ZIRO kweli kweli.Sheria Mtuhumiwa angelipa faini ya 50M Na miaka kumi jela ili iwe fundisho Kwa majangili wengine
wewe ligogo a.k.a gogo hyo sheria umeitunga wewe au unataka iwe hivyo..?
 
Hapo sawa ningashangaa mbulula kama wewe ungekua unajua sheria kabla ya kukurupuka.. huna tofauti na nyegere
Sishangai ZIRO kuwa na Tundu na mzungu anasema matundu yote hutumika
 
Tatizo sio Jaji ni sheria yenyewe ilivyo!Hapa unatakiwa uwaambie wabunge wakarekebishe
 
Huyo Jaji alikuwa anapaswa amwagiwe TINDIKALI siku ya kupatwa kwa jua.
Uncle MAGUFULI anzisha siku ya kunyonga Hadharani kila baada ya miezi 6 watu kama wa 5 wanaenda kwa God. Majizi, wa Unga na wa kwanza awe huyu Jaji.

Ameua Tembo 30, Tshs 10m?
 
Sishangai ZIRO kuwa na Tundu na mzungu anasema matundu yote hutumika
Najiona mshindi sana maana siri ya mtu alieshindwa hoja ndo hyo kuhara hadi kwa mdomo... Ukilala usisahau pampass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…