Jaja arudishe hela za umma kama Escrow

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,944
13,035
Siti mtemvu kachukua pesa hazijarudi

Escrow huko wanagoma kurudisha hela.

Na jaja nae arudishe zile hela ni za umma!! Haiwezekani uchukue mpunga halafu ukimbilie kwenu

Tra mkagueni huyo muuza matikiti kama amelipa kodi.


Sitti mtemvu
Jaja
Iptl

Bring back our money
 
Kwani yule mchezaji wetu wa simba streika hatari DANIEL AKUFFO baada ya kutimuliwa simba alirudisha zile chenji zetu!!!!!
 
hajagoma kurudi ameondoka kwa mutual agreement ndio maana anakuja kifaa mwingne

Kwani maksimo ni waziri wa ajira huko Brazil?

Naona anakomaa kupunguza tatizo la upungufu wa ajira huko kwao
 
Huo ni utaratibu wa nchi yetu, ukipata sehemu ya kumega pesa we mega tuuu hakuna tatizo!
 
Back
Top Bottom