Jairo Kustaafu Karibuni

je watz tumeridhika na haya yanayotokea kila kukicha? kama jibu ni hapana tuna mkakati gani au tunaishia kucomment hapa Jf! tumkeni huu si muda wa kuogopa virungu kwani hakuna wa kumwamini la sivyo tunatengeneza worst place for the future generation! na maana nguvu ya umma ihusike hapa
 
Akadabla...sandakalawe,Amina,mwenye kuona...tayari bado?bado,ana ana ana do..matido,watoto wangu kimbieni...bunge?ze comedy!rudi ofisini,rudi upanga,chunguza,sepa na vyako mwenzetu,Amina,Mmina Gairo!Liyumba ananyea debe.
 
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse.

Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!

Tena ni bora luhanjo, utoh na mwenzao jairo wote wang'olewe kupisha uchunguzi na m2 kama Luhanjo na Utoh ni mzito kwa taifa na bila kumsahau hosea wote piga boot.
 
ipo siku watwazomewa hata na watoto mtaani kwani dhambi yao itawatafuna kila kukicha.we have to wake up la sivo nchi itauzwa na wao watakimblilia ughaibuni
 
kwa mauzauza ya ccm,wala hatutashangaa akistaafu na kulipwa walau milioni 600 za kifuta jasho arudi kijijini.
 
Hapo ndipo nitaamini CCM ni wababe wasioogopa hata nguvu ya umma na pia nitaamini sisi ni wadanganyika tunaodanganxwa nakuuona uongo na kuendelea kuwa kimya. Yafaa tukifikirie kizazi kijacho tunakiandalia mazingipa gani? Na je vizazi vilivyotangulia vingefanya hivi tungelikua wapi? Tz ya kesho imeandaliwa leo
 
Watanzania tuna comment sana halafu hakuna action yoyote tunayochukua.
Hawa viongoz wanatufanya wapumbavu. Muda umefika, lazma tuamke jaman.
 
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse. <br />
<br />
Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!
<br />
<br />
 
Mi nilijua ameshastaafu kwani hii nchi watu wajanja cna.ila mwisho wao umekaribia.By Dajo
 
Back
Top Bottom