Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

Jamani. Mbona hivyo. Nimefurah kumsikia Olesendeka akiungana na Zito ktk hili. Pinda hana msaada ni bora ajiuzuru kabisa. Hii nchi kuna nini. Likiisha hili linaingia jingine. Why Tanzania? Ipo siku yatatimia. Mungu tusaidie watanzania wenye uchungu na nchi yetu. Walaani akina Jk,jairo,ngeleja, na wengineo.
 
Huwezi amini kumbe yule mwizi mshiriki wa Ikulu ndugu Jairo anapokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara ya nishati kwa kulisukuma gari lake kutoka kitegauchumi hadi wizarani

Wafanyakazi wanafrahia nini sasa? Ndo madhara ya kuwaza na kufikiri kwa kutumia masaburi
 
Wewe si unalipwa kwa kuwakuwadia mabwana wakubwa ambao hupendi wasemwe,
huwezi kulazimisha watu wakubaliane na upuuzi unaoutetea. Shame on you! Nitasema
bila woga ndiyo maana ninatumia jina langu halisi na picha yangu kwa kuwa simuogopi
bwana wako, wewe ni kuwadi tu unayejificha kwenye jina la mtu mwingine.

Inaonekana unatafasiri kitoto sana neno "Nitasema bila Uoga".. maana yake sio "Kusema maswala ya watu binafsi na kufuatilia maisha yao".. Ukishakujua kutofautisha hivyo vitu viwili basi utakubaliana na msemo wangu niliousema hapo awali kwamba unatakiwa ubalehee kwa maneno unayoyatoa kinywani mwako. Ooooh Jairo kafanya hivi, Ooooh Jairo kapendelewa,STFU... Kama kila taasisi ya serikali ikifanya kazi yake mnaanza kuizomea maana yake tutakua tunaharibu na kutojenga chochote cha maana. Kwa kifupi kubari kwamba, pamoja na kuweka picha yako "ukiwa umerembua" na pia kudai unasema bila uoga, basi unayoyasema bila uoga ni upuuzi mtupu.
 
Aliyeanzisha hii thread ni mwongo. Hakuna wageni toka nishati na madini hapa Magogoni.
Kumbe ni rahisi sana kuchezea akili za Great Thinkers
Aisee Kishongo habari za Ikulu, hebu naomba niangalizie kama mnukulu wa ikulu yupo leo nna ishu kuhusu zawadi za Idd..
 
Kila anayesukuma anapewa elfu 50 za balance ilio baki.....Tanzania nizaidi ya ujuavyo lol!!
 
Inaonekana unatafasiri kitoto sana neno "Nitasema bila Uoga".. maana yake sio "Kusema maswala ya watu binafsi na kufuatilia maisha yao".. Ukishakujua kutofautisha hivyo vitu viwili basi utakubaliana na msemo wangu niliousema hapo awali kwamba unatakiwa ubalehee kwa maneno unayoyatoa kinywani mwako. Ooooh Jairo kafanya hivi, Ooooh Jairo kapendelewa,STFU... Kama kila taasisi ya serikali ikifanya kazi yake mnaanza kuizomea maana yake tutakua tunaharibu na kutojenga chochote cha maana. Kwa kifupi kubari kwamba, pamoja na kuweka picha yako "ukiwa umerembua" na pia kudai unasema bila uoga, basi unayoyasema bila uoga ni upuuzi mtupu.

Kwa hiyo ulitaka wote tuwe makuwadi siyo?
Mbona huweki picha yako wakuone jinsi ulivyo...
Kwanza kujibishana na wewe wote tutaonekana
hamnazo...
 
Kwa hiyo ulitaka wote tuwe makuwadi siyo?
Mbona huweki picha yako wakuone jinsi ulivyo...
Kwanza kujibishana na wewe wote tutaonekana
hamnazo...

Ndio maana nikakwambia acha kufuatilia watu,, unataka picha yangu ya nini mwanaume mzima?? Ni kweli "Haunazo".. mwenye nazo hawezi kuamka asubuhi na kuanza kufuatilia Jairo amekula nini. Wewe ndio kuwadi, mtumwa na agent wa porojo na maneno yasiyokua na tija.
 
Uwendawazimu siyo lazima utembee uchi, aliyemzungumzia Jairo nani,
mbona unachanganya mambo? Kukuuliza kama hoja zako ni za kiume
naona imekukera sana, au wewe si riziki?
 
Kwani hii serilkali ambayo ina jk, ngeleja na jaioros ina nguvu kuliko umma uliowaweka madarakani?
kwa kweli sisi watz, sijui
 
Uwendawazimu siyo lazima utembee uchi, aliyemzungumzia Jairo nani,
mbona unachanganya mambo? Kukuuliza kama hoja zako ni za kiume
naona imekukera sana, au wewe si riziki?

Hapana mkuu wewe ndie ulianza kwa kuniuliza kama hoja zangu ndio za kiume. Na mie nikasema ndio, na nimetoa utetezi wangu. Ila nikashangaa wewe uko-interested sana na watu binafsi. Sijui kwa nini. Mie ni riziki kabisa mkuu, kama unataka ku-prove niko teyari kulipia hotel ili uone mwenyewe
 
Kwa hiyo ulitaka wote tuwe makuwadi siyo?
Mbona huweki picha yako wakuone jinsi ulivyo...
Kwanza kujibishana na wewe wote tutaonekana
hamnazo...

Bishop, huyu jamaa si mwanaume bali wa kiume achana naye,
keshazoea kujaza watu mtaani kwao akibishana. Wewe jadili hoja
achana na juha anayetumia masaburu kufikiri
 
Back
Top Bottom