Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja
Magwanda mmekosa ya kuandika. Kama uko jikoni badala ya kutujuza mitambo inayoendelea kufungwa Ubungo imefikia wapi, mitambo ambayo ipo njiani inategemewa kuwasili lini, wewe unaongelea mambo ya watu wamevaa nini, wanakwenda wapi, na upuuzi mwingine.
Kwani Ngeleja na Jairo ndio mara yao ya kwanza kwenda Ikulu?
Nawashangaa sana kuwa sera yanu ni majungu.
pasuka basi
Aliyeanzisha hii thread ni mwongo. Hakuna wageni toka nishati na madini hapa Magogoni.
Kumbe ni rahisi sana kuchezea akili za Great Thinkers
Luhanjo katupokea kwa shangwe kuu amemkumbatia Jairo na kumsifu kuwa ni shujaa!
Kikao kinaendelea,kubwa linalozungumzwa ni hali inayoendelea bungeni na jinzi ya kujihami. Luhanjo anasema ameagizwa kuweka hali ya mambo sawa na mkuu wa kaya!
QUOTE]
Mkuu hii kali! inakuwaje vile?
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!
UPDATES!
Luhanjo katupokea kwa shangwe kuu amemkumbatia Jairo na kumsifu kuwa ni shujaa!
Kikao kinaendelea,kubwa linalozungumzwa ni hali inayoendelea bungeni na jinzi ya kujihami. Luhanjo anasema ameagizwa kuweka hali ya mambo sawa na mkuu wa kaya!
Nitaendelea kuwajuza!!!
More UPDATES!!
Amini usiamini ikulu ya amua Pinda ajiudhuri!!
Hili linatokana na uzito wa Jairo ndani ya Ikulu, yani wameona bora Pinda ajiuzuru kuliko Jairo!!
Luhanjo anasema mkuu wakaya katoa maagizo eti kinyume na hapo kikwete atavuliwa madaraka!
Kikao kinamalizika na tumeletewa nyama ya kuku ya kukaangwa kwa soda!!
Hizi habari ni CRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP, JK hayupo ikulu yuko ziarani Pemba. Mbona unakuwa kichwa maji hivyo kuleta habari za uchonganishi humu JF????
Huwezi amini kumbe yule mwizi mshiriki wa Ikulu ndugu Jairo anapokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara ya nishati kwa kulisukuma gari lake kutoka kitegauchumi hadi wizarani
Mie nimeona jina lako la kiume, ila cha kushangaza unaandika umbea.. tafuta kitu cha kufanya. Wanaume hatuko hivyo
Huwezi amini kumbe yule mwizi mshiriki wa Ikulu ndugu Jairo anapokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara ya nishati kwa kulisukuma gari lake kutoka kitegauchumi hadi wizarani
Huu ni muendelezo wa Komedi (Part 2), part 1 ilianzia pale bungeni...
Hizi habari ni CRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP, JK hayupo ikulu yuko ziarani Pemba. Mbona unakuwa kichwa maji hivyo kuleta habari za uchonganishi humu JF????
Tumia akili kufikiri ktk maandiko hapo juu kunasehemu panapo sema kikwete katupokea?
I see! Kwa hiyo unaamini hoja yako ndo' ya kiume?
Ndio,, inapinga umbea na kuongelea watu muda wote. Sasa kuna tofauti gani na waimba taarabu?? Wanaume mizima na mawani lakini kila saa mnafuatilia wanaume wenzenu oooh flani kafanya hivi ooh flani alikuwa sehem flani. Umbea utawauwa. Ni wakati wa kubalehe
Wewe si unalipwa kwa kuwakuwadia mabwana wakubwa ambao hupendi wasemwe,
huwezi kulazimisha watu wakubaliane na upuuzi unaoutetea. Shame on you! Nitasema
bila woga ndiyo maana ninatumia jina langu halisi na picha yangu kwa kuwa simuogopi
bwana wako, wewe ni kuwadi tu unayejificha kwenye jina la mtu mwingine.
Madini migodini,wanyama mbugani,mali asili na rasilimali zote zitakwisha lakini ujinga wa watanzania katu hautaisha.
Wewe kama nani wa kutuambia sisi nchi imeisha? Unaijuwa nchi hii ilipotoka? Na ilipo sasa?
Kama ni wezi na ushahidi unao unangoja nini kwenda mahakamani? Au polisi au takukuru? Kama umeshindwa yote hayo bi wewe ndie mwizi wa fadhila.
Wabongo bwana, takukuru na polisi ndo nini, mimi mategemeo yangu yalikuwa kwa CAG, polisi na takukuru si lolote si chochote, ngoja wazalendo watusaidie, big up kwa kutujuza live
Back
Top Bottom