Hahaha Makosa; inamaana clouds wana mrengo wa matangazo ya biashara au me do kichwa changu baridi kama barafu sijaelwa?
Nimekusoma mkuuHapana mkuu , Mimi nimechukua point ya kusema kila wakati wanamsifia Magufuli tu.
Ila kwenye suala la matangazo nipo pamoja na wao , hebu jiweke katika hali ya kumiliki kituo cha redio halafu unapata matangazo mengi kama hayo.
FURAHA yake nadhani unaijua.
Wanapenda kuisikiliza japo inawakeraHivi huwa mnalazimishwa na kushikiwa fimbo kusikiliza
Basi wasituchoshe kuja kutulalamikiaWanapenda kuisikiliza japo inawakera
Na kila bidhaa/huduma walishaitumiaBora jahazi wao wako na asilimia 90 ya matangazo,Ile power breakfast ni asilimia 99 matangazo
Mh January Makamba alishawahi kuonya hii kitu Ila wao matangazo tu,Mara maziwa,bank sasa naona wamerudi kwenye makeki na mikate,outrageous
Kuna yule dada wa kazi kwenye hicho kipindi naona Masood na Fredwaa wamempa kakozi ka matangazo,na yeye kawa kama wao