Jahazi lazama Nungwi, Zanzibar leo

Dr.zero

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
964
434
Jahazi lenye jina la SUNRISE limezama kwenye mkondo wa Nungwi mchana huu,lilikuwa na abiria 35 waliookolewa hadi sasa ni 20 na hali zao ni mbaya,

Source: Radio One, Breaking News
 
Jahazi lililokuwa likitoka Tanga kwenda Zanzibar limezama mchana wa leo.

Watu 20 wameokolewa na 10 hawajulikani walipo.
 
Jahazi lazama NUngwi, watu 20 waokolewa, watu 10 hawajulikani walipo. Chanzo ITV muda huu.

NUNGWI KUNANI PALE
 
Jahazi la SUNRISE lililobeba abiria wapatao 35 limezama Nungwi Visiwani Zanzibar. Watu wapatao 20 wameokolewa na wengine wapatao 15 hawajulikani walipo. Jahazi hilo lilitokea kutokea Tanga, na lilikuwa ni la mizigo
Chanzo ITV breaking news, saa 3:37 jioni, leo tar.31/01/2013
 
Nasikia kipande cha Nungwi soo maana kuna mkondo wa bahari ukipita salama ushukuru mola
 
Kuna Jahazi limezama baharini(Nungwi)baadhi ya watu wameokolewa wengine hawajulikani walipo.
chanzo Facebook
 
Back
Top Bottom