Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
wana JF nipo sehemu nimekaa nasikiliza radio times na kuna kipindi cha Gadner G. Habashi kinaitwa Maskani. hiki kipindi kinaburudisha kwa story, muziki na burudani za michezo. kwa mtazamo wangu ni kipindi kizuri zaidi ya jahazi cha clouds fm. hakina makelele, masihara wala mambo ya kijinga kama yakina kibonde na wasiwasi wake. nimekompare kwa sababu ni vipindi vyote vya jioni. na ikumbukwe kuwa Gadner ni mwanzilishi pia wa jahazi inawezekana yeye alipoondoka basi kipindi kikapwaya na sasa uhondo upo Times . Huu ni mtazamo wangu tu wadau